Mashabiki wa Simba wenye akili hizi ‘ mbovu ‘ kama za Mashabiki wa Yanga ‘ watupishe ‘ haraka

Nazidi kuweka ' Vivid Facts ' hapa hasa kwa wale wana Simba wa ' hovyo hovyo ' kama tuliowazoea wa Yanga kwamba mkiwa mnaicheka Simba Kufungwa jana na Sevilla Magoli / Mabao 5 kwa 4 huku ' mkishangaa ' pia kuwaona Wachezaji wa Simba hasa Adam Salamba Kumuomba ' Viatu ' Mchezaji Banega kumbukeni kuwa hawa hawa Sevilla walicheza Mchezo wa Kirafiki kama huu walioucheza jana na Simba dhidi ya Klabu Kubwa, Tajiri, Bingwa na yenye Uzoefu kabisa Barani Afrika ya Al Ahly na Al Ahly alifungwa idadi ya Magoli / Mabao 5 kwa 0 tena Wao wakichezesha Kikosi chao cha Kwanza chote kwa dakika zote 90 tofauti na Simba ambayo jana Kocha alihakikisha anawapa Wachezaji wote ' fursa ' ya Kuandika Historia kwa Kucheza na Klabu Kubwa na Binga kama hiyo ya Sevilla.
Kuhusu Mchezaji wa Simba Adam Salamba kumuomba ' Viatu ' Mchezaji ' Mahiri ' wa Sevilla Banega baada ya Beki Mohammed Hussein Tshabalala ' Zimbwe Jr ' kumuomba Jezi Mchezaji huyu huyo na Kupewa ni kwamba hata wakati Mchezaji bora wa Dunia na aliyekuwa na ' Udambwi Udambwi / Ufundi Ufundi ' mwingi Ronaldinho Gaucho alpokuwa akiichezea Klabu Kubwa ya FC Barcelona walipoenda Kucheza Mechi ya Kirafiki na Raja Casablanca ya Morocco baada ya Mchezo ule Kumalizika Wachezaji wa Raja Casablanca walipamba na Kumvua Viatu huku wengine wakigombani Jezi yake hali iliyomfanya MchezajI Ronaldinho Gaucho ajikute amebakia na Bukta yake pale Uwanjani.
Sasa naomba kuwaulizeni hapa hapa ' Wapuuzi ' na ' Mapopoma ' wa Yanga kati ya Mchezaji Adam Salamba wa Simba ambaye Kistaarabu tu aliomba Viatu kwa Mchezaji Banega na wale Wachezaji wa Klabu ya Raja Casablanca ' waliomvamia ' Ronaldinho Gaucho na Kumvua kwa Kugombania kabisa Viatu vyake na Jezi na nani ndiyo Mshamba zaidi au Muhuni au hana Ustaarabu na pengine ndiyo anatakiwa Kuchekwa zaidi?
Ninapokuwa nawaambia kuwa Mashabiki wengi ( japo siyo Wote ) wa Yanga kuwa hamna ' Akili ' msiwe mnanibishia sawa?
Cc: mcubic , mrregion , kyata , king otaligamba , Ciro Teranova , babu na mjukuu , Twamo , magnifico
Wataipita hii kama hawaioni
 
Mkuu tatizo sio la mashabiki wa simba wenye akili mbovu mbovu 'kama ulivyowaita wewe mwenyewe' ila tatizo limetengenezwa na yule mropokaji wenu aliyewaaminisha kuwa timu yeyote ya nje ikicheza na simba uwanja wa taifa hawachomoki! Mentality hii isingekuwepo ungeona kila mtu anayachukulia matokeo ya jana kama ushujaa! Lakini pia kitu kingine ambacho kinatufanya sisi mashabiki wa MABINGWA WA KIHISTORIA kuwaona nyie simba watu kama wa hovyo hovyo ni kuwa mpira hamuuwezi ila mnapiga kelele sana! Sisi yanga ni wastaarabu sna

Nikirudi kitaalamu nashukuru mkuu kuwa uliona jana magoli mliyofungwa yalikuwa mepesi mepesi snaaa na ya kijinga jinga sana na ya akili ndogo sana (Nawasiwasi wangetumia akili wale wangewafunga 12), tofauti na magoli yenu ambayo nguvu kubwa sna ilitumika. Ur right jana kama zingeongezwa dk 15 tu, nakwambia 7 au 12 zingefika. Lakin niwapongeze kwa kucheza na SEVILLA! Ila hizi TANO TANO mnatutia aibu sana taifa.

Mazembe 5 - 0 simba
Al aHLY 5 - 0 Simba
Simba 0 - 5 Sevilla

Saint Ivuga
Huu ni ukuda
 
Gentmycine ni wa ovyo kabisa, hujui Yanga ilikuwa kituo cha kuhamasisha uhuru wa Tanganyika na Baadae Zanzibar??
Unaowadharau hawana akili ndo walitawala nchi hii.
Yanga jengolilijengwa na marehemu Karume , umeelewa??
Yanga ni club ya wananchi hutaki, kajinyonge basi!!
Hata jengo la Simba kajenga Karume
 
Uwezo wako wa ' Kujibizana ' na ' Kubishana ' na Mimi kuhusu mambo ya Mpira wa Miguu ni mdogo sana hivyo usinipotezee muda. Mtafute Mwenyekiti wako mpya wa Yanga Dkt. Mshindo Msolla ' akujumuishe ' katika ile Timu yake ya Kamati ya Kutembeza Bakuli ili kuweza Kuisaida Omba Omba FC a.k.a Yanga FC sawa?

Hadhi ya mwana Simba yoyote kwa sasa hivi siyo ' Kujibizana ' na Watu ' Wapumbavu / Mapopoma ' wa Yanga bali wana Simba sasa tunatakiwa Kuzungumza na Kujadiliana na Watu kutoka kama Gor Mahia, TP Mazembe, Mamelodi Sundowns, Zesco United, Al Ahly, Zamalek, Enyimba FC, Club Esperance, Etoile Du Sahel, Everton FC, Sevilla FC na Klabu nyinginezo nyingi za huko Ulaya.

Kubishana na Klabu ambayo Makao Makuu yake pia huwa ni Hifadhi ya Vyura wengi na Njia Kuu ya Mafuriko ya Jijini Dar es Salaam hasa wakati wa Mvua kama hiki ni kutaka nawe pia Kuonekana kuwa ni ' Mpumbavu / Popoma ' kama Wao. Huu muda mwingi mnaoutumia ' Kuinanga ' Simba baada ya matokeo ya Jana hivi mngeutumia katika ' Kujinasua ' katika Shida, Taabu na Dhiki zilizowakomaa msingekuwa mbali angalau na nyie kuweza Kuyafukuzia Mafanikio ya haraka na yenye Tija ya Simba?
MO kaweka mzigo? Anataka hati zote wazee wamekataa.. Mgogoro utakaokuja balaa Kanji anadai 7B za uendeshaji timu. . . Wazee walimtaka Bakhresa mzee mwenzao vijana Wakakaza. Mambo mengi muda mchache
 
Haya mr yanga!! Ukitaka kufanikiwa kukosolewa lazima!! At the end mtakuja kushituka watu washajijenga zaidi
MO kaweka mzigo? Anataka hati zote wazee wamekataa.. Mgogoro utakaokuja balaa Kanji anadai 7B za uendeshaji timu. . . Wazee walimtaka Bakhresa mzee mwenzao vijana Wakakaza. Mambo mengi muda mchache
 
Ninyi ni ombaomba tu huwezi andika waraka mrefu hivi kujaribu kusafunya ushenzi mlioufanya..kale kajamaa kameingia tu kanarukaruka uwanjani kumbe kanawaza[emoji151][emoji151][emoji151][emoji151]
Huko nyuma nilidhani Mashabiki wa Simba SC wana uelewa mkubwa wa Masuala mazima ya Kimpira kuliko wale Mashabiki wa ‘ hovyo hovyo ‘ wa Yanga SC kumbe taratibu sasa naanza kuona hali ni tofauti na huenda wakawepo wengi kuliko vile nilivyokuwa nadhania.

Jana wakati mchezo kati ya Simba ya Tanzania ( Third World Country ) dhidi ya Sevilla ya Hispania ( First World Country ) ulioisha kwa Simba Kufungwa Goli / Mabao 5 kwa 4 nilishangaa mno n asana kuwaona Mashabiki ‘ Wapuuzi ‘ wa Simba jinsi Mishipa ya Shingo ilivyokuwa ikiwatoka kwa Kulaumu na Kukasirika kwanini tumefungwa wakati Sisi ndiyo tulikuwa tukiongoza Kipindi cha Kwanza.

Ninaposema kuwa kuna Mashabiki wa Simba uwezo Wao wa akili hasa wa Kuchambua Mpira ni sawa na wale tuliowazoea wa Yanga ambao ni mdogo mno au ni wa ‘ hovyo hovyo ‘ muwe mnanielewa tafadhalini kwani jana ndiyo nimethibitisha rasmi japo huko nyuma nilikuwa nikihisi tu pekee.

Hivi kweli kwa akili ya Kawaida tu kuna mwana Simba ambaye Kiukweli kabisa jana alijua kuwa Simba tungeshinda ile mechi? Hivi mnajua ya kwamba wakati Simba yetu ikichezesha Vikosi vyake viwili vipana na tukamaliza kabisa Wenzetu Sevilla waliwacheza Wachezaji wao wengi ambao hata huwa hawapati kabisa nafasi ikiwemo Yule Kipa japo baadae waliwaingiza Wachezaji Wao mahiri Watatu tu?

Nyie wana Simba wenye akili za ‘ hovyo hovyo ‘ kama za wana Yanga hivi mnatambua ‘ Thamani ‘ ya Klabu ya Sevilla, Uwekezaji wake na Mafanikio yake hasa katika Soka la Ulaya Bara ambalo kila Mwafrika kila Siku ‘ anaota ‘ kama si ‘ Kutamani ‘ pia kwenda Kuishi huko?

Je nyie wana Simba wenye akili za ‘ hovyo hovyo ‘ kama za wana Yanga hivi mmeshajiuliza tu ‘ Kiufundi ‘ ni kwanini jana Kipindi cha Kwanza Sevilla walikuwa wanapooza mpira lakini Kipindi cha pili wakabadilika na kupelekea Kutufunga yale Magoli yao mazuri na ya ‘ Kiutaalam ‘ kabisa ambayo nina uhakika kama muda ungeongezwa pale basi hata Wiki ( Goli / Mabao 7 ) pengine hata 10 ‘ tungeyakoga ‘ pale Kwa Mkapa / Taifa?

Yote Kenda / Tisa ila Kumi ambapo ndiyo nilichoka kabisa na kuona kuwa kumbe kuna uwezekano huku Simba kukawa na Mashabiki wa ‘ hovyo hovyo ‘ hata kuliko wale wanaopatikana kwa uwingi kule Yanga. Kitendo cha wana Simba ‘ Kukasirika ‘ kwanini Kocha Patrick Aussems alifanya ‘ Mabadiliko ‘ ndiyo kimenithibitishia kuwa kumbe Tanzania kuna Mashabiki wa Mpira tu na hakuna Wanamichezo.

Hivi ni nani asiyejua kuwa lengo Kuu la Kampuni ya Kubashiri Michezo ya Sports Pesa lilikuwa ni Kwanza kuileta tu Klabu ya Sevilla kwa dhumuni Kuu la Kiutalii nchini, Kujenga Uhusiano mwema na Klabu ya Simba lakini kubwa zaidi kuwapa Wachezaji wetu wa Simba ‘ exposure ‘ kubwa na pengine hata ‘ Kuwatamanisha ‘ na Wao Siku moja waende Kucheza huko Ulaya / Dunia ya Kwanza?

Alichokifanya Kocha wetu wa Simba Patrick Aussems jana ni kuhakikisha kuwa anampa kila Mchezaji nafasi ya Kucheza na pia kuweka rekodi katika Maisha yake kuwa aliwahi Kucheza na Klabu Bingwa ya Kihistoria ya Kombe la UEFA ya Sevilla Kitendo ambacho Mimi GENTAMYCINE namsifu / nampongeza sana Kocha wetu kwani lengo Kuu limetimia japo Watu wasiojua mpira kwa marefu na mapana yake Wao lengo lao Kuu ile jana ilikuwa ni Kuiona tu Simba ikishinda halafu waanze ‘ Kujisifu ‘ huku mtaani kuwa wana Timu bora ya kuweza ‘ Kupambana ‘ na hadi Klabu Kubwa na Bingwa za Ulaya jambo ambalo Kiuhalisia ni Kinyume kabisa na ukweli wenyewe uliopo.

Binafsi kama GENTAMYCINE na mwana Simba lialia / kindakindaki nina uhakika pamoja na Kufungwa kule jana na Sevilla ila najua tayari ‘ Scouts ‘ wengi wa Kihispania na hata wale wa nchi zingine ambao jana walikuwa wakiutizama ule Mchezo kwani ulitangazwa sana Mitandaoni na Dunia nzima basi kuna uwezekano mkubwa Klabu ya Simba ikauza Wachezaji wake wengi tu ambao jana walifanya vyema pale lakini hata kama wasipouza sasa ila kuna ‘ Fursa ‘ nyingi ambazo Klabu itaipata na hata Wachezaji Vijana wa Simba watakuja kuipata hapo baadae.

Acheni kuwa na Upeo wa kuona mambo ya karibu karibu na jifunze kuwa na Jicho la Tatu katika Masuala mazima ya Mpira. Nimesikitika sana kuwaona Mashabiki wa Simba ndiyo wana huu Upeo kwani ninavyojua wenye huu Upeo ni wale Mashabiki wa Yanga ambao kama kawaida yao jana Simba ilipofungwa walishangilia kabisa badala ya Wao kuona ‘ Wivu ‘ kwa Simba kupata Mafanikio kila Kukicha na Wao wakibaki tu Kulia njaa.

Nawasilisha.
 
Kwani si mnaongozwa na manara aliye waaminisha kuwa mnaweza kuwafunga hata Barcelona

Back
Top Bottom