Mashabiki wa Simba wenye akili hizi ‘ mbovu ‘ kama za Mashabiki wa Yanga ‘ watupishe ‘ haraka

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Huko nyuma nilidhani Mashabiki wa Simba SC wana uelewa mkubwa wa Masuala mazima ya Kimpira kuliko wale Mashabiki wa ‘ hovyo hovyo ‘ wa Yanga SC kumbe taratibu sasa naanza kuona hali ni tofauti na huenda wakawepo wengi kuliko vile nilivyokuwa nadhania.

Jana wakati mchezo kati ya Simba ya Tanzania ( Third World Country ) dhidi ya Sevilla ya Hispania ( First World Country ) ulioisha kwa Simba Kufungwa Goli / Mabao 5 kwa 4 nilishangaa mno n asana kuwaona Mashabiki ‘ Wapuuzi ‘ wa Simba jinsi Mishipa ya Shingo ilivyokuwa ikiwatoka kwa Kulaumu na Kukasirika kwanini tumefungwa wakati Sisi ndiyo tulikuwa tukiongoza Kipindi cha Kwanza.

Ninaposema kuwa kuna Mashabiki wa Simba uwezo Wao wa akili hasa wa Kuchambua Mpira ni sawa na wale tuliowazoea wa Yanga ambao ni mdogo mno au ni wa ‘ hovyo hovyo ‘ muwe mnanielewa tafadhalini kwani jana ndiyo nimethibitisha rasmi japo huko nyuma nilikuwa nikihisi tu pekee.

Hivi kweli kwa akili ya Kawaida tu kuna mwana Simba ambaye Kiukweli kabisa jana alijua kuwa Simba tungeshinda ile mechi? Hivi mnajua ya kwamba wakati Simba yetu ikichezesha Vikosi vyake viwili vipana na tukamaliza kabisa Wenzetu Sevilla waliwacheza Wachezaji wao wengi ambao hata huwa hawapati kabisa nafasi ikiwemo Yule Kipa japo baadae waliwaingiza Wachezaji Wao mahiri Watatu tu?

Nyie wana Simba wenye akili za ‘ hovyo hovyo ‘ kama za wana Yanga hivi mnatambua ‘ Thamani ‘ ya Klabu ya Sevilla, Uwekezaji wake na Mafanikio yake hasa katika Soka la Ulaya Bara ambalo kila Mwafrika kila Siku ‘ anaota ‘ kama si ‘ Kutamani ‘ pia kwenda Kuishi huko?

Je nyie wana Simba wenye akili za ‘ hovyo hovyo ‘ kama za wana Yanga hivi mmeshajiuliza tu ‘ Kiufundi ‘ ni kwanini jana Kipindi cha Kwanza Sevilla walikuwa wanapooza mpira lakini Kipindi cha pili wakabadilika na kupelekea Kutufunga yale Magoli yao mazuri na ya ‘ Kiutaalam ‘ kabisa ambayo nina uhakika kama muda ungeongezwa pale basi hata Wiki ( Goli / Mabao 7 ) pengine hata 10 ‘ tungeyakoga ‘ pale Kwa Mkapa / Taifa?

Yote Kenda / Tisa ila Kumi ambapo ndiyo nilichoka kabisa na kuona kuwa kumbe kuna uwezekano huku Simba kukawa na Mashabiki wa ‘ hovyo hovyo ‘ hata kuliko wale wanaopatikana kwa uwingi kule Yanga. Kitendo cha wana Simba ‘ Kukasirika ‘ kwanini Kocha Patrick Aussems alifanya ‘ Mabadiliko ‘ ndiyo kimenithibitishia kuwa kumbe Tanzania kuna Mashabiki wa Mpira tu na hakuna Wanamichezo.

Hivi ni nani asiyejua kuwa lengo Kuu la Kampuni ya Kubashiri Michezo ya Sports Pesa lilikuwa ni Kwanza kuileta tu Klabu ya Sevilla kwa dhumuni Kuu la Kiutalii nchini, Kujenga Uhusiano mwema na Klabu ya Simba lakini kubwa zaidi kuwapa Wachezaji wetu wa Simba ‘ exposure ‘ kubwa na pengine hata ‘ Kuwatamanisha ‘ na Wao Siku moja waende Kucheza huko Ulaya / Dunia ya Kwanza?

Alichokifanya Kocha wetu wa Simba Patrick Aussems jana ni kuhakikisha kuwa anampa kila Mchezaji nafasi ya Kucheza na pia kuweka rekodi katika Maisha yake kuwa aliwahi Kucheza na Klabu Bingwa ya Kihistoria ya Kombe la UEFA ya Sevilla Kitendo ambacho Mimi GENTAMYCINE namsifu / nampongeza sana Kocha wetu kwani lengo Kuu limetimia japo Watu wasiojua mpira kwa marefu na mapana yake Wao lengo lao Kuu ile jana ilikuwa ni Kuiona tu Simba ikishinda halafu waanze ‘ Kujisifu ‘ huku mtaani kuwa wana Timu bora ya kuweza ‘ Kupambana ‘ na hadi Klabu Kubwa na Bingwa za Ulaya jambo ambalo Kiuhalisia ni Kinyume kabisa na ukweli wenyewe uliopo.

Binafsi kama GENTAMYCINE na mwana Simba lialia / kindakindaki nina uhakika pamoja na Kufungwa kule jana na Sevilla ila najua tayari ‘ Scouts ‘ wengi wa Kihispania na hata wale wa nchi zingine ambao jana walikuwa wakiutizama ule Mchezo kwani ulitangazwa sana Mitandaoni na Dunia nzima basi kuna uwezekano mkubwa Klabu ya Simba ikauza Wachezaji wake wengi tu ambao jana walifanya vyema pale lakini hata kama wasipouza sasa ila kuna ‘ Fursa ‘ nyingi ambazo Klabu itaipata na hata Wachezaji Vijana wa Simba watakuja kuipata hapo baadae.

Acheni kuwa na Upeo wa kuona mambo ya karibu karibu na jifunze kuwa na Jicho la Tatu katika Masuala mazima ya Mpira. Nimesikitika sana kuwaona Mashabiki wa Simba ndiyo wana huu Upeo kwani ninavyojua wenye huu Upeo ni wale Mashabiki wa Yanga ambao kama kawaida yao jana Simba ilipofungwa walishangilia kabisa badala ya Wao kuona ‘ Wivu ‘ kwa Simba kupata Mafanikio kila Kukicha na Wao wakibaki tu Kulia njaa.

Nawasilisha.
 
akili ya phd hii, yani mchezaji yeyote hata mgonjwa ilibidi acheze ilikuweka historia lakini wangekaa benchi wangejisiki wanyonge dhidi ya waliocheza.

asante kwa kuwakumbusha watu
 
Hahaaaa maskini akilala na buku moja kesho yake huamka saa 4. Sasa hao Sevilla watamchukua nani pale simba maana wachezaji wenyewe vikongwe labda huyo ombaomba ambae walau umri unalipa
 
Yanga mna wivu sana , hamlali, si lazma sevilla wasajili, hata matopeni fc mradi ipo ulaya tutapeleka wachezaji wetu
 
Hivi kule ulaya wachezaji huombana viatu pindi mechi inapomalizika?

Isije kuwa Simba pia ina wachezaji wa hovyo hivyo

Naomba unipe tofauti kati ya Kuombana Viatu na Jezi pale Mpira ukimalizika. Na kama leo ukishangaa Kuwaona Wachezaji wa Simba wakiwaomba wale wa Klabu ya Sevilla Viatu mbona hushangai Mashabiki wa huko huko Ulaya ( First World ) nao wakiwa wanakimbia Kuwaomba Wachezaji wa Timu Kubwa Kubwa za huko Viatu na Jezi zao? Iweje leo iwe ni ' Nongwa ' kwa Wachezaji wa Simba ( Third World ) wao wakifanya hivyo?

Na kwanini Wewe katika Tukio zima la jana Jicho lako hujalipeleka zaidi katika masuala ya ' Kiufundi ' zaidi na ulichokiona Wewe ni Wachezaji wa Simba Kuomba Viatu kwa Wachezaji wa Sevilla? Hivi hapa nikisema kuwa unachokishangaa Wewe na ' Wapuuzi ' Wenzako wa Yanga ni muendelezo ule ule wa Kiutamaduni wa ' Kiuswahili Uswahili ' walionao Watanzania wengi?

Ningewaona wana Yanga kama mna ' Akili ' sawa sawa kama mngewekeza muda Wenu mwingi mnaotumia Kupiga ' Majungu ' kujiuliza ni kwanini Yanga kwa Siku za karibuni ' Mafanikio ' yamewakimbia na kuna uwezekano kwa jinsi Simba inavyozidi Kutangazika Kimataifa basi itawaacha mno Kimafanikio katika Sekta nzima ya Mchezo wa Soka nchini.
 
Huko nyuma nilidhani Mashabiki wa Simba SC wana uelewa mkubwa wa Masuala mazima ya Kimpira kuliko wale Mashabiki wa ‘ hovyo hovyo ‘ wa Yanga SC kumbe taratibu sasa naanza kuona hali ni tofauti na huenda wakawepo wengi kuliko vile nilivyokuwa nadhania.

Jana wakati mchezo kati ya Simba ya Tanzania ( Third World Country ) dhidi ya Sevilla ya Hispania ( First World Country ) ulioisha kwa Simba Kufungwa Goli / Mabao 5 kwa 4 nilishangaa mno n asana kuwaona Mashabiki ‘ Wapuuzi ‘ wa Simba jinsi Mishipa ya Shingo ilivyokuwa ikiwatoka kwa Kulaumu na Kukasirika kwanini tumefungwa wakati Sisi ndiyo tulikuwa tukiongoza Kipindi cha Kwanza.

Ninaposema kuwa kuna Mashabiki wa Simba uwezo Wao wa akili hasa wa Kuchambua Mpira ni sawa na wale tuliowazoea wa Yanga ambao ni mdogo mno au ni wa ‘ hovyo hovyo ‘ muwe mnanielewa tafadhalini kwani jana ndiyo nimethibitisha rasmi japo huko nyuma nilikuwa nikihisi tu pekee.

Hivi kweli kwa akili ya Kawaida tu kuna mwana Simba ambaye Kiukweli kabisa jana alijua kuwa Simba tungeshinda ile mechi? Hivi mnajua ya kwamba wakati Simba yetu ikichezesha Vikosi vyake viwili vipana na tukamaliza kabisa Wenzetu Sevilla waliwacheza Wachezaji wao wengi ambao hata huwa hawapati kabisa nafasi ikiwemo Yule Kipa japo baadae waliwaingiza Wachezaji Wao mahiri Watatu tu?

Nyie wana Simba wenye akili za ‘ hovyo hovyo ‘ kama za wana Yanga hivi mnatambua ‘ Thamani ‘ ya Klabu ya Sevilla, Uwekezaji wake na Mafanikio yake hasa katika Soka la Ulaya Bara ambalo kila Mwafrika kila Siku ‘ anaota ‘ kama si ‘ Kutamani ‘ pia kwenda Kuishi huko?

Je nyie wana Simba wenye akili za ‘ hovyo hovyo ‘ kama za wana Yanga hivi mmeshajiuliza tu ‘ Kiufundi ‘ ni kwanini jana Kipindi cha Kwanza Sevilla walikuwa wanapooza mpira lakini Kipindi cha pili wakabadilika na kupelekea Kutufunga yale Magoli yao mazuri na ya ‘ Kiutaalam ‘ kabisa ambayo nina uhakika kama muda ungeongezwa pale basi hata Wiki ( Goli / Mabao 7 ) pengine hata 10 ‘ tungeyakoga ‘ pale Kwa Mkapa / Taifa?

Yote Kenda / Tisa ila Kumi ambapo ndiyo nilichoka kabisa na kuona kuwa kumbe kuna uwezekano huku Simba kukawa na Mashabiki wa ‘ hovyo hovyo ‘ hata kuliko wale wanaopatikana kwa uwingi kule Yanga. Kitendo cha wana Simba ‘ Kukasirika ‘ kwanini Kocha Patrick Aussems alifanya ‘ Mabadiliko ‘ ndiyo kimenithibitishia kuwa kumbe Tanzania kuna Mashabiki wa Mpira tu na hakuna Wanamichezo.

Hivi ni nani asiyejua kuwa lengo Kuu la Kampuni ya Kubashiri Michezo ya Sports Pesa lilikuwa ni Kwanza kuileta tu Klabu ya Sevilla kwa dhumuni Kuu la Kiutalii nchini, Kujenga Uhusiano mwema na Klabu ya Simba lakini kubwa zaidi kuwapa Wachezaji wetu wa Simba ‘ exposure ‘ kubwa na pengine hata ‘ Kuwatamanisha ‘ na Wao Siku moja waende Kucheza huko Ulaya / Dunia ya Kwanza?

Alichokifanya Kocha wetu wa Simba Patrick Aussems jana ni kuhakikisha kuwa anampa kila Mchezaji nafasi ya Kucheza na pia kuweka rekodi katika Maisha yake kuwa aliwahi Kucheza na Klabu Bingwa ya Kihistoria ya Kombe la UEFA ya Sevilla Kitendo ambacho Mimi GENTAMYCINE namsifu / nampongeza sana Kocha wetu kwani lengo Kuu limetimia japo Watu wasiojua mpira kwa marefu na mapana yake Wao lengo lao Kuu ile jana ilikuwa ni Kuiona tu Simba ikishinda halafu waanze ‘ Kujisifu ‘ huku mtaani kuwa wana Timu bora ya kuweza ‘ Kupambana ‘ na hadi Klabu Kubwa na Bingwa za Ulaya jambo ambalo Kiuhalisia ni Kinyume kabisa na ukweli wenyewe uliopo.

Binafsi kama GENTAMYCINE na mwana Simba lialia / kindakindaki nina uhakika pamoja na Kufungwa kule jana na Sevilla ila najua tayari ‘ Scouts ‘ wengi wa Kihispania na hata wale wa nchi zingine ambao jana walikuwa wakiutizama ule Mchezo kwani ulitangazwa sana Mitandaoni na Dunia nzima basi kuna uwezekano mkubwa Klabu ya Simba ikauza Wachezaji wake wengi tu ambao jana walifanya vyema pale lakini hata kama wasipouza sasa ila kuna ‘ Fursa ‘ nyingi ambazo Klabu itaipata na hata Wachezaji Vijana wa Simba watakuja kuipata hapo baadae.

Acheni kuwa na Upeo wa kuona mambo ya karibu karibu na jifunze kuwa na Jicho la Tatu katika Masuala mazima ya Mpira. Nimesikitika sana kuwaona Mashabiki wa Simba ndiyo wana huu Upeo kwani ninavyojua wenye huu Upeo ni wale Mashabiki wa Yanga ambao kama kawaida yao jana Simba ilipofungwa walishangilia kabisa badala ya Wao kuona ‘ Wivu ‘ kwa Simba kupata Mafanikio kila Kukicha na Wao wakibaki tu Kulia njaa.

Nawasilisha.
Aden Rage hakukosea kuwaita 'mbumbumbu'
 
Hakuna ' skauti' atakayevutiwa na wachezaji wa Simba ya sasa! Hakuna atakayesajili mtu 'mzee' kama Kagere, Okwi, Boko, Wawa, Nyoni........! Afu Simba
 
Kwani Rage alipowaita Mbumbumbu nyie mlielewa nini?
 
Na wewe huna tofauti na wao wewe pia ni hovyo Sportpesa hakuileta timu ya servilla kwa ajili ya kujenga mahusiano na SIMBA wewe ni kopo pia
 
Ndugu GENTAMYCINE usijifanye umesahau kama Yanga imesha wahi kujitangaza kimataifa baada ya kucheza na AC MILAN.
Naomba unipe tofauti kati ya Kuombana Viatu na Jezi pale Mpira ukimalizika. Na kama leo ukishangaa Kuwaona Wachezaji wa Simba wakiwaomba wale wa Klabu ya Sevilla Viatu mbona hushangai Mashabiki wa huko huko Ulaya ( First World ) nao wakiwa wanakimbia Kuwaomba Wachezaji wa Timu Kubwa Kubwa za huko Viatu na Jezi zao? Iweje leo iwe ni ' Nongwa ' kwa Wachezaji wa Simba ( Third World ) wao wakifanya hivyo?

Na kwanini Wewe katika Tukio zima la jana Jicho lako hujalipeleka zaidi katika masuala ya ' Kiufundi ' zaidi na ulichokiona Wewe ni Wachezaji wa Simba Kuomba Viatu kwa Wachezaji wa Sevilla? Hivi hapa nikisema kuwa unachokishangaa Wewe na ' Wapuuzi ' Wenzako wa Yanga ni muendelezo ule ule wa Kiutamaduni wa ' Kiuswahili Uswahili ' walionao Watanzania wengi?

Ningewaona wana Yanga kama mna ' Akili ' sawa sawa kama mngewekeza muda Wenu mwingi mnaotumia Kupiga ' Majungu ' kujiuliza ni kwanini Yanga kwa Siku za karibuni ' Mafanikio ' yamewakimbia na kuna uwezekano kwa jinsi Simba inavyozidi Kutangazika Kimataifa basi itawaacha mno Kimafanikio katika Sekta nzima ya Mchezo wa Soka nchini.
 
Nazidi kuweka ' Vivid Facts ' hapa hasa kwa wale wana Simba wa ' hovyo hovyo ' kama tuliowazoea wa Yanga kwamba mkiwa mnaicheka Simba Kufungwa jana na Sevilla Magoli / Mabao 5 kwa 4 huku ' mkishangaa ' pia kuwaona Wachezaji wa Simba hasa Adam Salamba Kumuomba ' Viatu ' Mchezaji Banega kumbukeni kuwa hawa hawa Sevilla walicheza Mchezo wa Kirafiki kama huu walioucheza jana na Simba dhidi ya Klabu Kubwa, Tajiri, Bingwa na yenye Uzoefu kabisa Barani Afrika ya Al Ahly na Al Ahly alifungwa idadi ya Magoli / Mabao 5 kwa 0 tena Wao wakichezesha Kikosi chao cha Kwanza chote kwa dakika zote 90 tofauti na Simba ambayo jana Kocha alihakikisha anawapa Wachezaji wote ' fursa ' ya Kuandika Historia kwa Kucheza na Klabu Kubwa na Binga kama hiyo ya Sevilla.

Kuhusu Mchezaji wa Simba Adam Salamba kumuomba ' Viatu ' Mchezaji ' Mahiri ' wa Sevilla Banega baada ya Beki Mohammed Hussein Tshabalala ' Zimbwe Jr ' kumuomba Jezi Mchezaji huyu huyo na Kupewa ni kwamba hata wakati Mchezaji bora wa Dunia na aliyekuwa na ' Udambwi Udambwi / Ufundi Ufundi ' mwingi Ronaldinho Gaucho alpokuwa akiichezea Klabu Kubwa ya FC Barcelona walipoenda Kucheza Mechi ya Kirafiki na Raja Casablanca ya Morocco baada ya Mchezo ule Kumalizika Wachezaji wa Raja Casablanca walipamba na Kumvua Viatu huku wengine wakigombani Jezi yake hali iliyomfanya MchezajI Ronaldinho Gaucho ajikute amebakia na Bukta yake pale Uwanjani.

Sasa naomba kuwaulizeni hapa hapa ' Wapuuzi ' na ' Mapopoma ' wa Yanga kati ya Mchezaji Adam Salamba wa Simba ambaye Kistaarabu tu aliomba Viatu kwa Mchezaji Banega na wale Wachezaji wa Klabu ya Raja Casablanca ' waliomvamia ' Ronaldinho Gaucho na Kumvua kwa Kugombania kabisa Viatu vyake na Jezi na nani ndiyo Mshamba zaidi au Muhuni au hana Ustaarabu na pengine ndiyo anatakiwa Kuchekwa zaidi?

Ninapokuwa nawaambia kuwa Mashabiki wengi ( japo siyo Wote ) wa Yanga kuwa hamna ' Akili ' msiwe mnanibishia sawa?

Cc: mcubic , mrregion , kyata , king otaligamba , Ciro Teranova , babu na mjukuu , Twamo , magnifico
 
Umeongea vyema sana Mkuu

Akhsante Mkuu na Siku zote limekuwa ni Jukumu langu Mama / Kuu ' Kuwaelimisha ' wale ' Mapopoma / Wapumbavu ' wachache ambao huwa wanakatisha mbele yangu katika Hoja mbalimbali hapa Jamvini ( JamiiForums ) na naamini pale nikiwa ' nawaelimisha ' basi na Wao huwa wanabadilika haraka kama siyo upesi. Na sitochoka kamwe katika ' Kuwanyoosha ' Mkuu.
 
Na wewe huna tofauti na wao wewe pia ni hovyo Sportpesa hakuileta timu ya servilla kwa ajili ya kujenga mahusiano na SIMBA wewe ni kopo pia

Uwezo wako wa ' Kujibizana ' na ' Kubishana ' na Mimi kuhusu mambo ya Mpira wa Miguu ni mdogo sana hivyo usinipotezee muda. Mtafute Mwenyekiti wako mpya wa Yanga Dkt. Mshindo Msolla ' akujumuishe ' katika ile Timu yake ya Kamati ya Kutembeza Bakuli ili kuweza Kuisaida Omba Omba FC a.k.a Yanga FC sawa?

Hadhi ya mwana Simba yoyote kwa sasa hivi siyo ' Kujibizana ' na Watu ' Wapumbavu / Mapopoma ' wa Yanga bali wana Simba sasa tunatakiwa Kuzungumza na Kujadiliana na Watu kutoka kama Gor Mahia, TP Mazembe, Mamelodi Sundowns, Zesco United, Al Ahly, Zamalek, Enyimba FC, Club Esperance, Etoile Du Sahel, Everton FC, Sevilla FC na Klabu nyinginezo nyingi za huko Ulaya.

Kubishana na Klabu ambayo Makao Makuu yake pia huwa ni Hifadhi ya Vyura wengi na Njia Kuu ya Mafuriko ya Jijini Dar es Salaam hasa wakati wa Mvua kama hiki ni kutaka nawe pia Kuonekana kuwa ni ' Mpumbavu / Popoma ' kama Wao. Huu muda mwingi mnaoutumia ' Kuinanga ' Simba baada ya matokeo ya Jana hivi mngeutumia katika ' Kujinasua ' katika Shida, Taabu na Dhiki zilizowakomaa msingekuwa mbali angalau na nyie kuweza Kuyafukuzia Mafanikio ya haraka na yenye Tija ya Simba?
 
Kama wewe ndio Mwanasimb mwenye akili hao wengine wakoje?
 
Back
Top Bottom