Mashabiki wa soka njooni tumpongeze Antonio Valencia

Mashabiki wa soka njooni tumpongeze Antonio Valencia

Yuko poa sana, ana consistency, shida yake bichwa maji sana, anaweza tumia nguvu kubwa kukimbia na kuwatoka walinzi pinzani hadi karibu kabisa na 18 ya adui, af akikutana na beki mmoja akam'babulia tu mgongoni muv ikaishia hapo.
Huwa anadhani kama ashakimbia sana na mpira basi keshapata credit zote za siku hiyo, kumbe No, tunahitaji kuona na best a outcome ya alichokifanya,
Ila, kama angezingatia kuhakikisha anatoa a outcome nzuri, nadhani angekuwa kila season anafunga au kuongoza ktk assist EPL,
Na hii ndio sababu kubwa hatukuzwi sana na mashabiki wengi wa Man u
 
Aliyombadilisha valencia ni van gaal
Msimu wa mwisho wa Sir Alex, Valencia alianza kucheza namba mbili hiyo ni baada ya majeraha ya mara kwa mara yaliyokuwa yanamsibu Rafael.

Van Gaal alimnunua Matteo Darmian aje acheze kama namba mbili lakini hakuwa na impact sana. Na hivyo nae akaendelea kumuiga Sir Alex kumchezesha Valencia kama namba mbili.

Alipokuja Jose ndipo amemtumia Valencia kama namba mbili moja kwa moja. Ila sasa umri unaanza kumtupa mkono ni wakati sahihi sasa kwa Jose kumtafuta mbadala halisi wa Valencia kwani sitegemei msimu ujao kama atakuwa kwenye ubora wake huu huu.
 
Back
Top Bottom