Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
huyo bila shaka ni Mcolombia Hugo Rodallega.pale mbele walikua na fowadi ana virasta memsahau jina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyo bila shaka ni Mcolombia Hugo Rodallega.pale mbele walikua na fowadi ana virasta memsahau jina
Alikuwa kiungo mkabaji mzuri sana, baadae alienda Spurs lakini mambo hayakuwa mazuri sana.Yaah Wilson palacios Hondurus moja hiyo alikuwa anatawala pale dimbani kifua kipana hivi.
Hana makuu km Scholes......SCHOLES wetu alikuwa hata akilimwa nyekundu anajiondokea zake uwanjani bila kubisha wala kushangaaNa ukumbuke jamaa sio natural back, alikuwa ni winga akarudishwa kucheza beki.
Mimi namkubali kwa kuwa anapiga kazi yake kimyakimya na hana makuu.
mkuu mfumo wa van gaal huo wa DIAMOND ...ni winger kuwa mabeki....nakumbuka hata ashley young wote van gaal alikuwa ana wachezesha mabeki...baada ya kuumia luke shaw ikawa Left young...RIGHT valencia...ndy safari ikaendelea hapo.....hata hyo morinho bado anatumia mfumo huo wa van gaal....Msimu wa mwisho wa Sir Alex, Valencia alianza kucheza namba mbili hiyo ni baada ya majeraha ya mara kwa mara yaliyokuwa yanamsibu Rafael.
Van Gaal alimnunua Matteo Darmian aje acheze kama namba mbili lakini hakuwa na impact sana. Na hivyo nae akaendelea kumuiga Sir Alex kumchezesha Valencia kama namba mbili.
Alipokuja Jose ndipo amemtumia Valencia kama namba mbili moja kwa moja. Ila sasa umri unaanza kumtupa mkono ni wakati sahihi sasa kwa Jose kumtafuta mbadala halisi wa Valencia kwani sitegemei msimu ujao kama atakuwa kwenye ubora wake huu huu.
Nimeipenda hii. Kweli kabisa hujakosea.Antonio Valencia ana chenga moja tu na hio chenga anapita KULIA.....mabeki wote wanajua na hakuna anaeweza kumzuia asipite kulia!
Antonio Valencia ana chenga moja tu na hio chenga anapita KULIA.....mabeki wote wanajua na hakuna anaeweza kumzuia asipite kulia!
Na bado mabeki hawawezi kuzuia!Naichukia sana chenga yake!!! Chenga gani inaonekana hata kabla haikjapigwa??
Yani yeye ana chenga moja tu inayompa kula... Alafu ana speed basi wala hana makuu!!Naichukia sana chenga yake!!! Chenga gani inaonekana hata kabla haikjapigwa??
Mbona hamuelewi Valencia alianza kucheza beki wakati wa Ferg...wakati ule Rafael alikuwa anaumia umia Ferg akamrudisha nyumba acheze kama beki.mkuu mfumo wa van gaal huo wa DIAMOND ...ni winger kuwa mabeki....nakumbuka hata ashley young wote van gaal alikuwa ana wachezesha mabeki...baada ya kuumia luke shaw ikawa Left young...RIGHT valencia...ndy safari ikaendelea hapo.....hata hyo morinho bado anatumia mfumo huo wa van gaal....
Mkuu mtoa mada..Nataka kukuambia huyu mtu katukuzwa sana ndio maana unaona kwa sasa ndie captain wa Mashetani Wekundu. Ukiona mtu anakuwa captain wa timu kubwa/tajiri kuliko zote duniani ameheshimiwa sana.Mimi si shabiki wa Man Utd na mara nyingi siipendi sana. Lakini kuna jamaa ananifanya niwe naiangalia Man Utd kila inapocheza. Antonio Valencia ndio kivutio changu na anayefanya niwe naangalia hata mechi za Man Utd.
Antonio Valencia, beki wa kulia wa Man Utd, mmoja kati ya wachezaji mahiri wanaocheza kwa nidhamu kubwa sana huku akitimiza majukumu yake vyema.
Valencia anajua kukaba, anajua kushambulia hasa pale anapofanya 'Over laping' kwenda kupiga krosi langoni mwa adui. Valencia pia anapofunga goli basi huwa ni goli maridhawa sana. Ni full back mahiri sana wa kisasa. Lakini pamoja na uwezo wote huo, mashabiki wa Man Utd hawajamtukuza sana.
Sifa zote zinaenda kwa mabrazameni akina Pogba, Lingard, Mzigo Lukaku nk.
Mashabiki wa soka njooni tumpambe Antonio Valencia a.k.a Mr Consistency ambapo mimi namchukulia kama ndie Beki bora wa kulia kwasasa EPL.
Povu ruksa!!
[emoji23] [emoji23] Scholes bhana! Kuna wachezaji ni wapole aisee. Ila Valencia siku hizi kaamua kuwa mhuni si kama zamaniHana makuu km Scholes......SCHOLES wetu alikuwa hata akilimwa nyekundu anajiondokea zake uwanjani bila kubisha wala kushangaa
Antony valencia na neimar nani zaidi?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Disco limeingiliwa na mmasai
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mkuu mtoa mada..Nataka kukuambia huyu mtu katukuzwa sana ndio maana unaona kwa sasa ndie captain wa Mashetani Wekundu. Ukiona mtu anakuwa captain wa timu kubwa/tajiri kuliko zote duniani ameheshimiwa sana.
Captain wa man u ni carrick mkuu!! valencia ni vice captain!! anavaa arm band kwa sababu mara nyingi carick hachezi ila siku kariki akiwa uwanjan jua valencia atamuachia carrick unahodha!!Mkuu mtoa mada..Nataka kukuambia huyu mtu katukuzwa sana ndio maana unaona kwa sasa ndie captain wa Mashetani Wekundu. Ukiona mtu anakuwa captain wa timu kubwa/tajiri kuliko zote duniani ameheshimiwa sana.