Mashabiki wa soka njooni tumpongeze Antonio Valencia

mkuu mfumo wa van gaal huo wa DIAMOND ...ni winger kuwa mabeki....nakumbuka hata ashley young wote van gaal alikuwa ana wachezesha mabeki...baada ya kuumia luke shaw ikawa Left young...RIGHT valencia...ndy safari ikaendelea hapo.....hata hyo morinho bado anatumia mfumo huo wa van gaal....
 
Mbona hamuelewi Valencia alianza kucheza beki wakati wa Ferg...wakati ule Rafael alikuwa anaumia umia Ferg akamrudisha nyumba acheze kama beki.
 
Mkuu mtoa mada..Nataka kukuambia huyu mtu katukuzwa sana ndio maana unaona kwa sasa ndie captain wa Mashetani Wekundu. Ukiona mtu anakuwa captain wa timu kubwa/tajiri kuliko zote duniani ameheshimiwa sana.
 
Hana makuu km Scholes......SCHOLES wetu alikuwa hata akilimwa nyekundu anajiondokea zake uwanjani bila kubisha wala kushangaa
[emoji23] [emoji23] Scholes bhana! Kuna wachezaji ni wapole aisee. Ila Valencia siku hizi kaamua kuwa mhuni si kama zamani
 
Mkuu mtoa mada..Nataka kukuambia huyu mtu katukuzwa sana ndio maana unaona kwa sasa ndie captain wa Mashetani Wekundu. Ukiona mtu anakuwa captain wa timu kubwa/tajiri kuliko zote duniani ameheshimiwa sana.

May be na ukongwe pia umemsaidia akapewa u-captain
 
Mkuu mtoa mada..Nataka kukuambia huyu mtu katukuzwa sana ndio maana unaona kwa sasa ndie captain wa Mashetani Wekundu. Ukiona mtu anakuwa captain wa timu kubwa/tajiri kuliko zote duniani ameheshimiwa sana.
Captain wa man u ni carrick mkuu!! valencia ni vice captain!! anavaa arm band kwa sababu mara nyingi carick hachezi ila siku kariki akiwa uwanjan jua valencia atamuachia carrick unahodha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…