Kuliko Stars ya Jan Poulsen iliyotwaa kombe la CECAFA ?
Kuliko Taifa stars ya Emanuel Amunike iliyokwenda AFCON kwa mara ya kwanza baada ya miaka 30?
Kuliko Stars ya Salum Mayanga iliyofika semi final ya Mashindano ya COSAFA kule South Africa?
Kuliko stars ya Amrouche ambayo imeenda AFCON tena kwenye kundi lenye Algeria, Uganda na Niger?
Sisi watanzania ni wepesi wa kusahau sana na hatuheshimu kabisa taaluma na kazi za watu