kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
- Thread starter
-
- #61
Alaaa muombee simba afike nusu fainal mbebwe tena ili mwakani mpate hiyo nafasi ya kucheza na mazembe kama ndiyo uliyoichagua!Tukimfunga mazembe nitafurahi sana
Ndio anaingia group stage baada ya hapo akifika nusu mtakua ndani ya mbeleko mwakani mtacheza nazo hizo ili mshinde!Mamelodi esperance waydad
Ajikaze kwa nguvu zake!Yanga
La chuki mbaya Sana!Akuna anenung'unika isipokuwa wanaongelea uhalisia wa timu yenu ni mbovu msimu huu tunawachana live akuna kupepesa macho wala kutikisa masikio.
Kama mnachukia mchukie timu akuna pale nilidhani kuna mabadiliko ya kiuchezaji kumbe bado staili ni ile ile ya butua butua mipira mirefu kuwatafuta kina boko ndo mfumo pendwa kwa sasa.
Na kibaya zaidi mnaenyeka ata mnapocheza na vitimu vibovu Kama icho cha botswana, ngoja mda utaongea mkikutana na wanaume
Huyo ni Utopolo Ana thinking zamiaka ya 70 na. 80 kuwa Kumfunga mtani ndio Mpango mzima!Ume drop kwasababu zipi?!!..Umeshinda ugenini?!!..unasema umdrop au maana ya kudrop ni kushinda?
Kusema timu yao mbovu mwaka huu hata msimu ulioisha hukuwahi kukiri kwamba simba wanatimu bora! bali mlikua mnapondea tu et mmeshinda kwa bahati! huku mkiaminishwa uto mnatimu bora sana yakuchukua ubingwa na kufika mbali kimataifa nakweli kimataifa mmefika mbali maana hatuwaoni kabisa mmetokomea mbaaliAkuna anenung'unika isipokuwa wanaongelea uhalisia wa timu yenu ni mbovu msimu huu tunawachana live akuna kupepesa macho wala kutikisa masikio.