Mashabiki wa Tanzania mnataka simba iifunge timu gani hapa Africa?

Akuna anenung'unika isipokuwa wanaongelea uhalisia wa timu yenu ni mbovu msimu huu tunawachana live akuna kupepesa macho wala kutikisa masikio.

Kama mnachukia mchukie timu akuna pale nilidhani kuna mabadiliko ya kiuchezaji kumbe bado staili ni ile ile ya butua butua mipira mirefu kuwatafuta kina boko ndo mfumo pendwa kwa sasa.

Na kibaya zaidi mnaenyeka ata mnapocheza na vitimu vibovu Kama icho cha botswana, ngoja mda utaongea mkikutana na wanaume
La chuki mbaya Sana!
Hivi nyiesi mliingia Ligi ya Mabibgwa kwa mbeleko ya Pan Africa🤭
Simba imeingiaRound ya Pili Kama Miongoni mwa Timu Kumi Bora za Africa!
Nyie mkachezea kochapo mbele na nyuma!
Leo Simba inakwenda kucheza Hatua ya Makundi...bado.mnaisakam!!
La ama kweli Uto ni Uto tu!
 
Akuna anenung'unika isipokuwa wanaongelea uhalisia wa timu yenu ni mbovu msimu huu tunawachana live akuna kupepesa macho wala kutikisa masikio.

Kama mnachukia mchukie timu akuna pale nilidhani kuna mabadiliko ya kiuchezaji kumbe bado staili ni ile ile ya butua butua mipira mirefu kuwatafuta kina boko ndo mfumo pendwa kwa sasa.

Na kibaya zaidi mnaenyeka ata mnapocheza na vitimu vibovu Kama icho cha botswana, ngoja mda utaongea mkikutana na wanaume
Kusema timu yao mbovu mwaka huu hata msimu ulioisha hukuwahi kukiri kwamba simba wanatimu bora! bali mlikua mnapondea tu et mmeshinda kwa bahati! huku mkiaminishwa uto mnatimu bora sana yakuchukua ubingwa na kufika mbali kimataifa nakweli kimataifa mmefika mbali maana hatuwaoni kabisa mmetokomea mbaali
 
Back
Top Bottom