Mashabiki wa Yanga acheni UPUMBAVU kumtetea Job

Mashabiki wa Yanga acheni UPUMBAVU kumtetea Job

Mashabiki wa yanga hawajawahi kuwa na akili
 
Tanzania kuna ujinga mwingi sana. Job kaachwa Yanga wanapiga kelele. Ila kuna mambo ya msingi hawayaoni kabisa. Mfano mzuri, Kibu na Mzize wameitwa national team ila Waziri Junior hajaitwa. Kibu hana goli hata moja, Mzize hata sijui kama amefikisha manne. Hakuna anayesema. Yule center back wa Coastal somebody Lawi mzuri sana kaachwa kaitwa Mwamnyeto ambaye hata huko Yanga haaminiki anachomesha kinoma.
 
Mimi sio Yanga ila timu ya Taifa ni hiari, Dickson Job yuko sahihi kabisa,maamuzi yake yasiingiliwe au kupewa shinikizo,hizo timu za taifa mchezaji akipata injury wanamsusa club ndo inaingia gharama. Kucheza timu ya taifa ni kujitolea tu mtu kama hataki asilazimishwe.
wanaomlazimisha waende wao.
 
Back
Top Bottom