Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
AahhaaaaaKwani kanuni ya penati waliisema Yanga ama TFF
Makolokolo baada ya kukutana na hii sheria jinsi yalivyokuwa mapole [emoji847]Mumwache mfalme apumzike [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2651541
Unapunguzaje magoli ambayo yalishafungwa na kurekodiwa..goli ni goliMakolokolo baada ya kukutana na hii sheria jinsi yalivyokuwa mapole [emoji847] View attachment 2651544
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Makolokolo yanavyopita kimya kimya kwenye huu uzi baada ya kutambua kuwa kelele zao kwa Mayele ni sawa na baiskeli ya kunoa visu [emoji2]Makolokolo baada ya kukutana na hii sheria jinsi yalivyokuwa mapole [emoji847] View attachment 2651544
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Endelea kuteseka Ndugu yangu na Makolokolo FC sisi Wananchi tunaendelea kutamba tu [emoji1]Unapunguzaje magoli ambayo yalishafungwa na kurekodiwa..goli ni goli