Sababu ya uungaji mkono katika kuingia viwanjani, uchangiaji wa damu, utoaji misaada kwa wasiojiweza, ulipaji wa ada za wanachama na mashabiki n.kNikuulize club ya yanga inarudisha kwa mashabiki wake baada ya kufanya nini haswa? Au kupata nin mpaka ikaamua kuweka mzunguko bure
Mechi inaanza sawa tatu usiku, halafu uanze kufikiria usafiri wa kurudi inakuwa haitamanishi kwenda Bora uangalie kwenye tv na wadau.Nikuulize club ya yanga inarudisha kwa mashabiki wake baada ya kufanya nini haswa? Au kupata nin mpaka ikaamua kuweka mzunguko bure
Yanga angetoza tu kiingilio maana nusu hapiti hata kidogo.Anajisumbua tu.Mechi inaanza sawa tatu usiku, halafu uanze kufikiria usafiri wa kurudi inakuwa haitamanishi kwenda Bora uangalie kwenye tv na wadau.
Na timu inahitaji hamasa ya mashabiki.
Ni faida kibiashara, unakubali kununua hamasa ili update mshiko wa billions baadae.
Hapo inasema Free ukiwa na Jezi vinginevyo R20Hii ni mechi ya Mamelod vs Wydad fainali ya AFL mashabiki wote waliingia bure, asa sijui unataka kusema nini? View attachment 2941734
Gate collection ni hela ndogo hata ukijaza uwanja. Nusu Yanga anaweza kuingiaYanga angetoza tu kiingilio maana nusu hapiti hata kidogo.Anajisumbua tu.
Mechi nyingi za mkundi Yanga kafanya fungulia mbwa
Mechi ya kimataifa wanaingizwa bure wamezoea kuingizwa bure ha ha haaaa!!!Kwanini wasijae uwanjani kama mechi dezo, Simba tunajaza na mashabiki wanalipa, Yanga bila dezo uwanja haujai.
Wewe nikikulipia bure utakubali?Kuna mambo yanastaajabisha sana! Yaani kuingia bure waingie mashabiki wa Yanga! Ila mateso unapata wewe kijana wa Manhungu!!
Wewe sema tu Boss wako Mudi hana ubavu wa kuruhusu mashabiki kuingia bure kama alivyowahi kufanya Yusuph Manji, na sasa GSM.
Hii lugha gani umetumia, BULE ina maana gani?It's official now we call them
BULE FOOTBALL CLUB
Kwenye hili kweli Yanga wameonyesha uoga wa hali ya juu sanaNi aibu mashabiki mechi kubwa kuingia dezo,uongozi wa Yanga umekuwa ukiamini mashabiki wao bila kiingilio kuwa bure hawezi kuingia uwanjani, kwanini wanapenda bure? Mechi kubwa kama hii kama ni bure je kwenye mechi ndogo ndogo hawa mashabiki wataenda uwanjani?
Kitu ukitolea jasho na gharama huwa unaithamini, sasa kuna tofauti gani na ng'ombe kuingizwa kwenye zizi?
Yanga hawana standard vitu wanavyofanya, unajisikiaje timu unayopenda unaenda kuingia bure kama ng'ombe.
Huyo mjinga alikuwa hajazaliwa au kijana wa Rage..El Merikh Rwanda, Al Ahly taifa, goli la utosi la Captain Nadir Harob Canavaro.
Hzo data za kupikwa baada ya simba kukataa dili la AZAM media wakaamua waikandamize simba team ambayo inaweza kujaza taifa ni simba tu uliobaki ni uzwazwa wa mashabiki wa yanga maana wao ni bendera fuata upepo takwimu zenyewe alitoa AZAM dili lilikuwa la AZAM inamaama ulishindwa kugundua hilo .Yanga karibu misimu yote popote katika nchi hii ndio timu inayo ongoza kwa Mashabiki wake kuingia uwanjani na haijalishi mkoa gani.
Kwa takwimu za Tff, Yanga ndio timu inayo ongoza kwa mashabiki kujaa viwanjani.
Mfano tuliona uthubutubwa mashabiki kwenda Rwanda na South Africa kwa idadikubwa.
Inachofanya klabu kwa sasa ni kurudisha fadhila kwa Mashabiki wake.