Mzukulu
JF-Expert Member
- Feb 14, 2020
- 1,401
- 2,641
Ifuatayo ni nukuu ya Shabiki wa Yanga FC na Mwandishi Mchambuzi Privaldinho aliyoiandika katika Ukurasa wake wa Instagram hasa baada ya Kuchoshwa na Uwendawazimu wa Mashabiki wengi wa Timu yake ya Yanga FC anayoishabikia.....
" Namshangaa sana Shabiki wa Yanga FC anayetumia muda wake mwingi Kuidhihaki Simba SC inabebwa. Hivi Timu yetu ( Yanga ) inapoteza alama 8 dhidi ya Prisons, dhidi ya Mbeya City, dhidi ya Coastal Union na dhidi ya Polisi halafu unatumia nguvu Kubwa Kuitukana Simba SC? Kwahiyo na Yanga FC istahili Kubebwa ili isipate Sare 4? "
Haya sasa wana Yanga FC leo Mwenzenu Privaldinho kaamua Kuwatoleeni Uvivu hivyo hebu badilikeni upesi sana tafadhalini.