Mashabiki wa Yanga FC wangekuwa na Akili Kubwa na hawana Unafiki kama Mshabiki Mwenzao Privaldinho ningewaheshimu sana

Mzukulu

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2020
Posts
1,401
Reaction score
2,641
Ifuatayo ni nukuu ya Shabiki wa Yanga FC na Mwandishi Mchambuzi Privaldinho aliyoiandika katika Ukurasa wake wa Instagram hasa baada ya Kuchoshwa na Uwendawazimu wa Mashabiki wengi wa Timu yake ya Yanga FC anayoishabikia.....

" Namshangaa sana Shabiki wa Yanga FC anayetumia muda wake mwingi Kuidhihaki Simba SC inabebwa. Hivi Timu yetu ( Yanga ) inapoteza alama 8 dhidi ya Prisons, dhidi ya Mbeya City, dhidi ya Coastal Union na dhidi ya Polisi halafu unatumia nguvu Kubwa Kuitukana Simba SC? Kwahiyo na Yanga FC istahili Kubebwa ili isipate Sare 4? "

Haya sasa wana Yanga FC leo Mwenzenu Privaldinho kaamua Kuwatoleeni Uvivu hivyo hebu badilikeni upesi sana tafadhalini.
 
Tutajuaje kuwa aliyeandika kuwa ni shabiki wa yanga na si wa simba? Mikia mna mbinu nyingi za propaganda...mnahonga hata marefa wachezeshe vibaya mechi za yanga...ni mchezo mbaya Sana na wa kishenzi kabisa...kumhonga refa achezeshe ni ushenzi...
 
Umeandika kwa uchungu sanaa, sasa subiri jumapili tukukere zaidii
 
Tutajuaje kuwa aliyeandika kuwa ni shabiki wa yanga na si wa simba? Mikia mna mbinu nyingi za propaganda...mnahonga hata marefa wachezeshe vibaya mechi za yanga...ni mchezo mbaya Sana na wa kishenzi kabisa...kumhonga refa achezeshe ni ushenzi...

Kabla ya yote tusimjadili mtu, tujadili kilichoandikwa kwanza je kina ukweli au ni magumashi?

Ni kweli yanga ilikosa point hizo 8 dhidi ya hizo timu ambazo zimetajwa?

It's Scars
 
Ukweli mchungu

Jr[emoji769]
 
Tutajuaje kuwa aliyeandika kuwa ni shabiki wa yanga na si wa simba? Mikia mna mbinu nyingi za propaganda...mnahonga hata marefa wachezeshe vibaya mechi za yanga...ni mchezo mbaya Sana na wa kishenzi kabisa...kumhonga refa achezeshe ni ushenzi...
Unajua maana ya Propaganda??Pili peleka madai yako Takukuru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mikia wanajitekenya na kucheka wenyewe. Mjiandae kung'oa viti.
 
Mimi mtu akishakuwa tu Simba nahesabu kuwa hana akili sawasawa.Sasa hapo kwani kuna shabiki wa Yanga amebisha kuwa hatujapoteza point kwa timu hizo?Kwani ni uongo kuwa mpira wa kapombe kwenda kwa kagere ulitoka nje?

Halafu unaenda Instagram unatafuta ujumbe wa kukufurahisha wewe ndo unawaletea mbumbumbu wenzio wajadili badala ya kuangalia uhalisia.Kumbuka mtu anaweza kuandika chochote hata sisi tuna video ngoja nikupe ha hii tuone unasemaje unasemaje kuhusu hiyo video kwanza
Your browser is not able to display this video.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kuna hoja mbili, ya kwanza ni simba kubebwa na yanga kupata matokeo yasiyoridhisha, hoja hizi hazifungamani. Labda angeleta ushahidi kuonyesha kuwa Simba habebwi na wanaosema hivyo ni waongo hapo tungemwelewa vizuri, ila kuja na hoja kuwa Simba habebwi kutokana na Yanga kufanya vibaya ni ujinga wa hali ya juu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…