Mashabiki wa Yanga ndio mnaoifanya timu yenu iwe Ombaomba

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
Moja kati ya mashabiki feki na waajabu kutokea ulimwenguni ni mashabiki wa Yanga, Wakati timu yao ikiwa kwenye kipindi kigumu cha kutembeza bakuli la michango ya kuendesha timu wao kama kawaida yao wameendelea kuonyesha ushabiki wa mdomoni na sio vitendo

Siku ya leo katika mchezo wa Yanga na Simba Sc ambapo katika mchezo huo Yanga ndio alikuwa mwenyeji, nilishangazwa na idadi kubwa ya mashabiki wa Simba waliojitokeza na huku wanayanga wakiwa wachache hadi kushindwa kujaza jukwaa lao
IMG_20190216_180256.jpeg

Na kilichonishangaza zaidi ni kitendo cha Simba Sc ambaye ni mgeni kujaza karibia asilimia 65 ya uwanja wote, wanasimba walijaza jukwaa lao lote na wengine wakaamia jukwaa la Yanga huku Yanga viti vyao asilimia kubwa vikiwa wazi kabisa

Ikumbukwe kuwa mapato yote ya leo ni ya Yanga sc, Na timu ili iweze kujiendesha haya ndio moja ya mapato ambayo yanaisaidia timu kujiendesha lakini wanayanga wamebakia kupiga mdomo tu mitaani lakini uwanjani wanakimbia na timu yao inakosa mapato hadi wanafikia hatua yakuomba kuchangiwa.

Mashabiki wa yanga mnatakiwa mbadilike kwani nyie ndio mnaoifanya timu yenu iendelee kuwa na hali ngumu, jifunzeni kwa mechi za simba jinsi mashabiki wanavyojitoa kwa moyo wote, angalieni timu za ulaya yani ikiwa ni mechi za nyumbani tena derby huwezi kuta hata siti moja inabaki na ticket huwa zinaisha kabisa ndio maana timu zao zina maendeleo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo walizoea kuikejeli simba ,wewe wasubiri tu kwenye mechi za Simba za kimataifa ndo utawaona wakizishabikia timu za nje wakati timu Lao lina doda
 
Nyie mnapoteza muda wenu bure kuwashauri migongo wazi.
Timu ina udhamini wa bilioni 1 wa Sports Pesa na Azam TV milioni 100 bado wanashindwa kulipa wachezaji wao mishahara!!!!
Unategemea wawe na akili ya kufikiri kwamba wakijaza uwanja timu inafaidika.
Wao wanangoja vikapu watupie mia 500 siku zisogee.
 
Moja kati ya mashabiki feki na waajabu kutokea ulimwenguni ni mashabiki wa Yanga, Wakati timu yao ikiwa kwenye kipindi kigumu cha kutembeza bakuli la michango ya kuendesha timu wao kama kawaida yao wameendelea kuonyesha ushabiki wa mdomoni na sio vitendo

Siku ya leo katika mchezo wa Yanga na Simba Sc ambapo katika mchezo huo Yanga ndio alikuwa mwenyeji, nilishangazwa na idadi kubwa ya mashabiki wa Simba waliojitokeza na huku wanayanga wakiwa wachache hadi kushindwa kujaza jukwaa lao
View attachment 1024308
Na kilichonishangaza zaidi ni kitendo cha Simba Sc ambaye ni mgeni kujaza karibia asilimia 65 ya uwanja wote, wanasimba walijaza jukwaa lao lote na wengine wakaamia jukwaa la Yanga huku Yanga viti vyao asilimia kubwa vikiwa wazi kabisa

Ikumbukwe kuwa mapato yote ya leo ni ya Yanga sc, Na timu ili iweze kujiendesha haya ndio moja ya mapato ambayo yanaisaidia timu kujiendesha lakini wanayanga wamebakia kupiga mdomo tu mitaani lakini uwanjani wanakimbia na timu yao inakosa mapato hadi wanafikia hatua yakuomba kuchangiwa.

Mashabiki wa yanga mnatakiwa mbadilike kwani nyie ndio mnaoifanya timu yenu iendelee kuwa na hali ngumu, jifunzeni kwa mechi za simba jinsi mashabiki wanavyojitoa kwa moyo wote, angalieni timu za ulaya yani ikiwa ni mechi za nyumbani tena derby huwezi kuta hata siti moja inabaki na ticket huwa zinaisha kabisa ndio maana timu zao zina maendeleo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati Yanga ikiwika chini ya Manji, hali ilikuwa kinyume. Au hakuwepo Wakati huo?
 
Mechi ya kwanza ilikuwaje?
Mapato 194 mil ... 50 - 50 mashabiki uwanjani. Kwa hiyo msiwe na wasiwasi, nyie mbona hamjajaa mechi yenu na Mwadui kwa mfano?
Kubali usikubali, ni Yanga ndiyo inayoiboresha Simba and vice versa kwa hiyo sioni haja ya kubwabwaja kwako.
Mmekuja kuwaangalia Young Africans, sababu ni brand kubwa.
 
Domo alilipi mashahara wala posho Yanga nendeni uwanjani mambo ya kusubiri bonasi za kuingia bure zimekwisha .Mtabaki kumsingizia bashite na JPM

Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga ina njaa inaongoza ligi..si ndio maana wakati wa neema ya Kanji ilikuwa inajichukulia ubingwa tu..Yanga imeshawahi kuwa Na hali ngumu kuliko hivi Na ikachukua ubingwa..ila mikia miaka miwili mfululizo ikapona kushuka daraja..
 
Back
Top Bottom