Mashabiki wa Yanga sc puuzieni tetesi zisizo na mashiko zinazosambazwa JF member kuwa Yanga sc inafanyiwa fitina huko algeria.

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Kiufupi kikosi kipo katika mikono salama na Raisi wa Yanga sc Eng. Hers kafanya interview na kumshukuru Raisi wa nchi Mama Samia Hasani kwa kutoa ndege.

Lakini pia waziri wa sanaa na michezo Dkt Pindi Chana na balozi wa Algeria Jackob Kingu walikwenda kuitembelea kambi ya Yanga nakuwatia moyo wachezaji.

Yanga sc ipo katika mikono salama
 
Ila kama wachezaji wa Yanga wapo kinyonge sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

#WHYNOTUS#
#timuyawananchi#
#tunapinduajamvi#
#Daimambelenyumamwiko#
🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰

Since 1935 💛💚
 
Wale wanaheshimu soka,hawawezi kuleta ushamba mliowafanyia mpaka wakawashtaki caf.
 
Wanasikiliza neno la busara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…