MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Kauli za Mashabiki wa Yanga SC kabla ya Mechi ya Simba SC na El Merreikh leo....
" Leo mtafungwa hamtoamini "
" Mtakoma mnacheza bila Watazamaji leo "
" Leo mmekomolewa na CAF hivyo mnacheza bila Mashabiki na hamtoingia na Paka wenu wale "
Kauli za Mashabiki wa Yanga SC mara baada ya Simba SC kuifunga El Merreikh Magoli 3 kwa 0 leo...
" Mmecheza na Madereva wa Teksi Khartoon "
" Mmewanunua kwani leo wamecheza hovyo sana "
" Nahisi Kikosi cha leo ni El Merreikh B "
Ninasisitiza aliyekuwa Kocha wao Dj Luc Eymael hakukosea alipowaita wana Yanga SC kuwa ni Nyani, Sokwe na Mbwa huku akiwadharau sana tu.