Mashabiki wa Yanga sio watu wa mpira, mmeambiwa mnaingia bure na bado mnaendelea kuhamasishwa kwenda uwanjani kuona gemu bure, haya ni maajabu makubwa

Mashabiki wa Yanga sio watu wa mpira, mmeambiwa mnaingia bure na bado mnaendelea kuhamasishwa kwenda uwanjani kuona gemu bure, haya ni maajabu makubwa

Hili jamaa huwa liongo lisilo na aibu
Vipi apo
Screenshot_20240327-100618.jpg
 
Mashabiki wa Yanga wanapendelea zaidi kwenda uwanjani kwenye mechi walizo na uhakika wa ushindi. Mechi ambayo wanahisi watapata kipigo wanapendelea kuiangalia kwa kujifichaficha. Hii ni tofauti na mashabiki wa Simba ambao mechi ngumu ndiyo wanazipenda labda kutokana na mara kadhaa kupata matokeo mazuri katika mechi hizo. Kidogo ushindi dhidi ya CRB unaweza kuwa umeanza kuwabadili hawa viumbe maana ninaamini wengi wao walijuta kuikosa ile mechi.
 
Back
Top Bottom