Mashabiki wa Yanga wajitokeza Kwa wingi mitaa ya Jangwani Kwenda kupata supu

Mashabiki wa Yanga wajitokeza Kwa wingi mitaa ya Jangwani Kwenda kupata supu

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Karibuni wananchi tuongeze nguvu baada ya kushinda goli tano dhidi ya mtani.

Hata wana Simba mnaruhusiwa kuja kupoza machungu ya kipigo cha goli tano.

1699771555167.jpg
 
Mashabiki wa Yanga wajitokeza Kwa wingi mitaa ya Jangwani Kwenda kupata supu ikiwa ni sherehe ya ushindi zidi ya mtani ,

Mwanasimba unakaribishwa pia kupoza machungu Kwa kujipatia supu ya Bure
1294946233.jpg
741651199.jpg
1186030582.jpg
567337177.jpg
 
Back
Top Bottom