Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
DUuuh 🤣 🤣 🤣 🤣Nipo na Kalpana amesema supu ni tamu bakuli la kwnza likiisha ataongeza la pili, na pia jambo la kufurahisha amekuja na zile chapati tano
Kuna rfk yangu mwana Yanga kindaki...amesema hawezi sogea hapo kunywa supu ya vibudu...
Mpira wetu kivyetu vyetu...