Sure ,kipindi kile timu inaendeshwa Kwa bakuli Ni hawa hawa mashabiki na wanachama ndio waliochanga ,pamoja na magumu Yale lkn walikua pamoja na timu
Sasa HV waachwe wafurahie kila Zuri linalowatokea.
Pia hongera Kwa viongozi wa Yanga Kwa kuja na ubunifu wa kuwaleta pamoja wanachama,mashabiki na wachezaji
Fikiria walivyokuja na Ile idea ya mchezaji kupewa special match kama siku yake, pale mchezaji anajisikiaje kua the whole match yy ndie siku yake
Halafu tena Leo mashabiki na wanachama wakaandaliwa supu . Mchango WA hivi vitu sio Ile thamani yake ya kifedha Bali Ni Ile spirit inayojengwa