Mashabiki wa Yanga wajitokeza Kwa wingi mitaa ya Jangwani Kwenda kupata supu

Mashabiki wa Yanga wajitokeza Kwa wingi mitaa ya Jangwani Kwenda kupata supu

Ni jambo jema linalokutanisha pamoja mashabiki mandazi ila pia linanikumbusha hii. It's giving Kibwetere.

Screen Shot 2023-11-12 at 11.14.52 AM.png
 
Tanzania ina wajinga wengi yaani akija mgeni akitaka kuwatekeza watanzania basi ni kwenye kula tu mtu akiamua anawaondoa wote hao kwa mkupuo Tanzania my country.
 
Nyie fakamieni tu na huu msimu wa mvua hamkawii kunyweshwa supu ya Vyura.
 
Nyie fakamieni tu na huu msimu wa mvua hamkawii kunyweshwa supu ya Vyura.
 
Ni jambo la kipumbavu Kwa macho ya kawaidi ila ukiingia ndani zaid utajua zaid Bond inayotengenezwa kati ya timu na mashabiki utaona ni umoja wenye nguvu unaundwa
Kuna propaganda inajengwa hapo kubwa sanaaa
Watu watajivunia kua part of the club
Mimi ni mwana simba lialia Ila Kwa hili mtani hongera Kwa hii
 
Nyie ndio mpewe team Sasa watu wa mawazo mapya na walio tayari kujifunza sio kukebehi
Kumbuka hapo Kuna wale fans wapya ambao huwa hawajaamua washabikie team ipi (hasa wanawake na watoto)basi huchagua Moja kwa Moja upande
 
Safi sana tunamtazamo sawa mkuu
Hakuna silaha kubwa ya kupatanisha maadui huku Kwetu Africa Kama msosi,
Moja ya kitu nacho kiheshimu siku zote kwenye public ni chakula

hapo hao mashabiki Wana feel very proud kua wanayanga hao mashabiki ata yanga akivulunda akahalibu nakwambia watakufa nayo huo msosi unanguvu saana nyuma ya pazia

Umegusia jambo nzuri zaid wanawake na watoto hili ni kundi linalo husudu msosi kuliko kitu chochote apa Dunia Fanya research siku ya sikukuu nyumbani kwako uwaambie pikeni ugali na dagaa Mke pamoja na watoto wako wote wanaangua kilio on spot
 
Back
Top Bottom