Mashabiki wa Yanga walifanyiwa vurugu DR Congo na warabu wameleta vurugu uwanja wa taifa

Mashabiki wa Yanga walifanyiwa vurugu DR Congo na warabu wameleta vurugu uwanja wa taifa

Mpigania uhuru wa pili

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2023
Posts
3,380
Reaction score
6,376
Tanzania ni taifa linalochekesha mda huo huo linasikitisha sana yaani uko nchini kwako mgeni anakuletea vurugu na humfanyi chochote kile

Yanga kule congo mazembe wameloga waziwazi na mwishowe wakawafanyia vurugu mashabiki wa Yanga

Watu hawa hawa ndo uwategemee kwa mabadiliko ilihali wanafanyiwa vurugu ndani ya nchi yao na hawafanyi chochote kile

Tuendelee kuwalaumu wakina mbowe ila tatizo la watanzania ni kubwa sana kuliko tunavyofikiri
 
Back
Top Bottom