Mashabiki wa Yanga watakaoishangilia As Vita kukamatwa kwa kukosa uzalendo..

Mkuu umemaliza, heshima yako.
 
Wakuu, hii habari ina ukweli wowote?

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
ss utakuwa unaenda kutafuta nn kwa mkapa bora ukaangalie ktk Tv yako tu
 
Serikali imepiga marufuku mashabiki wa Yanga kuishangilia timu ya AS Vita kwani kufanya hivyo ni kukosa uzalendo

Kutakua na askari uwanjani watakaokuwa wanaaangalia mashabiki wote wanaoishangilia AS Vita na watawakamata mara moja..
kama uwezo upo hata mcheze bila mashabiki mtashinda tu
 
Serikali imepiga marufuku mashabiki wa Yanga kuishangilia timu ya AS Vita kwani kufanya hivyo ni kukosa uzalendo

Kutakua na askari uwanjani watakaokuwa wanaaangalia mashabiki wote wanaoishangilia AS Vita na watawakamata mara moja..
Kama habari ya kweli utakuwa ni upuuzi wa kiwango cha rami

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali imepiga marufuku mashabiki wa Yanga kuishangilia timu ya AS Vita kwani kufanya hivyo ni kukosa uzalendo

Kutakua na askari uwanjani watakaokuwa wanaaangalia mashabiki wote wanaoishangilia AS Vita na watawakamata mara moja..
North Korea au Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…