Mkuu umemaliza, heshima yako.Hivi ni lazima kushabikia timu ya nyumbani? Kama ni hivyo kiingilio kiwe bure. Siwezi kutoa pesa halafu unipangie timu ya kushabikia. Wanaohimiza watu wawe wazalendo ndiyo hao wanakula national cake pekee yao. Mtu akiniambia mambo ya uzaalendo huwa namfananisha tahira au kichaa fulani hivi.