Mashabiki walivyojitokeza kumpokea Zari Mlimani City

Mashabiki walivyojitokeza kumpokea Zari Mlimani City

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
Yo! I don’t care what anybody says. Zari is the truth. How old is she now? 39/40/41?

She makes 20-some year old girls look like dirt.

What red-blooded man wouldn’t want to smash that...let alone fantasize about it?

Hahahahaa....GTFOH.

Ila, hao madogo wa kiume wenye mabegi ya mgongoni ni aje? Ni washabiki wake au ma blogger au both?

I can assure you amekuja kutumbua yale mabulungutu ambayo Diamond aliyaanika wiki chavhache zilizopita

Nadhani moyoni alijisemea usntanie wewe unaanika pesa namna hiyo? Ngoja nije bongo kwa kisingizio cha kuleta watoto 😁
 
I can assure you amekuja kutumbua yale mabulunguti ambayo diamond aliyaanika wiki chavhache zilizopita

Nadhani moyoni alijisemea usntanie wewe unaanika pesa namna hiyo? Ngoja nije bongo kwa kisingizio cha kuleta watoto 😁
Very strategic....
she knows when and where to strike....
hii kweli forward sio bektatu...
 
I can assure you amekuja kutumbua yale mabulungutu ambayo Diamond aliyaanika wiki chavhache zilizopita

Nadhani moyoni alijisemea usntanie wewe unaanika pesa namna hiyo? Ngoja nije bongo kwa kisingizio cha kuleta watoto 😁
ndio kazi ya pesa
 
Kama kuna jambo sijawahi kulielewa, ni mapenzi ya fans eti mpaka mtu anafunga safari kwenda airport, sijui mlimani city kumuona mtu. Bora hata ingekuwa show ningeelewa. Yani hata kama nina muda wa kutupa sidhani kama naweza kuwa na mahaba juu ya mtu kiasi hicho.
 
Wanawake wengine akili akunaga.diamondi alivyomdhalilisha na kumsema vibaya mara mkubwa kiumri mara nn leo anajikomba. Asubiri akiondoka.
 
Back
Top Bottom