Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie marafiki, na dada zake, ndugu zake, na wapenzi wake hamumwambii ukweli! Kama ulivyosema yeye ni nzuri sawa mashaallah!....ninachokiona mimi ni kuwa wema hana maamuzi kama yeye ktk mapenzi, maamuzi ya nani ampende yameshikiliwa na watu wanamzunguka hasa hasa mama yake!...huyu alimtongoza daimond kipindi katoka kuchukua tuzo za kili 3,na wakati huo huo anaendelea na mahusiano na c..., ikafikia mpaka chibu akawa amelalamika sana kuhusu hilo, isitoshe inasemekana alikuwa anamuaga na kumwambia leo naenda kwa mwenzio....mpak dai akabwaga manyanga...kwa upeo wangu wema anampenda dai..lkn kuna watu pamoja na mleta uzi wanamtaka wema awe na mtu wa aina fulani mwenye maisha fulani....mukapiga kampeni akiwemo mama yake wema kuwa bring back our wema...mukamuweka njia panda juu ya maamuzi yake, na mukumbuke ndicho kipindi ambacho dai alishatangaza kutaka kumuoa wema lkn upande mwingine mama yake wema akiapa kuwa mwanae hawezi kuolewa na diamond...mbona mnakuwa wepesi wa kusahau? Hata ingekuwa wewe unaetoa ushauri siku ya birthday ya mumeo, analetewa zawadi ya chupi na mpenzi wake wa zamani ungejisikiaje? Anaulizwa hii bmw imetoka wapi anashindwa kutetea hoja...automatic wema kamwaga dai na mwisho wa siku anaangukia kwa waume za watu...na muda unaenda! Miluzi mingi ilimpoteza mbwa
Jamani ilo kono la Wema loo!afu hajaacha mkorogo au?
Mnakosaga na ya kufanyaa,,ukiwa rafiki wa wema Sare zinahusikaa kwii kwiiii kwiiii
cheki mama Diamond kapose pembeni ya Zari
View attachment 206647
na hivi zari ana mshiko,Wema atachanganyikiwa mwaka huu,kaanzisha urafiki na Penny coz alihofu Domo angerudisha majeshi kwa penny,kumbe kaenda South Africa
Umemsikia kasema anamthank My baby wake,sasa sijui Zari?Wema?Hhhhhhhhaaaaaaaaaa Dai noooomaaaaaaa
Pichani naona wajane wanafarijiana kwa misosi
Umemsikia kasema anamthank My baby wake,sasa sijui Zari?Wema?
Umemsikia kasema anamthank My baby wake,sasa sijui Zari?Wema?
kidonda,yaani we acha tuKipya kinyemi ingawa......