Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
Hivi matatizo ya kwenu na ukoo mzima yalishaisha ili uhamie kwa ya Wema? Alikuambia anakunywa kea stress za mapenzi? Kama kunywa Wema anakunuwa Sana hata akiwa na diamond. Alishakiri mwenyewe kwamba Ana udhaifu huo wa kunywa. Kwa kifupi muache Wema anza na ukoo wa kwenu. Najua itakuchukua uhai wako wrote na bado hutamaliza kuusia ukoo wako.