Nyie marafiki, na dada zake, ndugu zake, na wapenzi wake hamumwambii ukweli! Kama ulivyosema yeye ni nzuri sawa mashaallah!....ninachokiona mimi ni kuwa wema hana maamuzi kama yeye ktk mapenzi, maamuzi ya nani ampende yameshikiliwa na watu wanamzunguka hasa hasa mama yake!...huyu alimtongoza daimond kipindi katoka kuchukua tuzo za kili 3,na wakati huo huo anaendelea na mahusiano na c..., ikafikia mpaka chibu akawa amelalamika sana kuhusu hilo, isitoshe inasemekana alikuwa anamuaga na kumwambia leo naenda kwa mwenzio....mpak dai akabwaga manyanga...kwa upeo wangu wema anampenda dai..lkn kuna watu pamoja na mleta uzi wanamtaka wema awe na mtu wa aina fulani mwenye maisha fulani....mukapiga kampeni akiwemo mama yake wema kuwa bring back our wema...mukamuweka njia panda juu ya maamuzi yake, na mukumbuke ndicho kipindi ambacho dai alishatangaza kutaka kumuoa wema lkn upande mwingine mama yake wema akiapa kuwa mwanae hawezi kuolewa na diamond...mbona mnakuwa wepesi wa kusahau? Hata ingekuwa wewe unaetoa ushauri siku ya birthday ya mumeo, analetewa zawadi ya chupi na mpenzi wake wa zamani ungejisikiaje? Anaulizwa hii bmw imetoka wapi anashindwa kutetea hoja...automatic wema kamwaga dai na mwisho wa siku anaangukia kwa waume za watu...na muda unaenda! Miluzi mingi ilimpoteza mbwa