Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Uchovu wa mechi iliyopitaVipi kuhusu Namungo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchovu wa mechi iliyopitaVipi kuhusu Namungo?
Nyie mrirundi kinyumenyume.Wachezaji wa Yanga walitembea kwa miguu kutoka Uhasibu hadi uwanjani. Ingekuwa Simba wamefanya hivyo, kelele zingekuwa nyingi sana
Kweli ile mechi yanga walituzidi uchawi, simba ilicheza na misukule kwa sura halisi za wachezaji wa Yanga
Uafadhali unatokea wapi sasa?Nyie mrirundi kinyumenyume.
Tafakari hapo nani ana afadhali
jibu unalo, kwa maswala ya kichawi hapa nchini na africa simba ndio babalao hata CAF na TFF wanalijua hiliUafadhali unatokea wapi sasa?
Hizi ndio kelele sasaWachezaji wa Yanga walitembea kwa miguu kutoka Uhasibu hadi uwanjani. Ingekuwa Simba wamefanya hivyo, kelele zingekuwa nyingi sana
Wakati huo huo wanaopigwa faini kila Kariakoo dabi kwa vitendo vya kishirikina ni wenginejibu unalo, kwa maswala ya kichawi hapa nchini na africa simba ndio babalao hata CAF na TFF wanalijua hili
Ajibu ana mchezo sawa na timu za kaskazini. Hategemei kucheza mpira, anategemea kuvuruga mpira kwa kukera wengine. Siku ile aliongoza kwa rafu za kisukuma sukuma ili kuwatoa mchezoni wachezaji wa YANGA. Alitegemea sana wachezaji wa YANGA wapewe red cad matokea yake akapewa yeye kiwiko,ilikuwa halali yake kabisa.Aucho kafanya makosa,kwahiyo asiadhibiwe ? Mnapenda sana kuchukulia kila kitu mnaonewa ili kunufaisha timu flani,badilikeni basi bodi ya ligi ipo sahihi,hata kama Ajibu alifanya utoto lakini Aucho kama professional footballer hakustahili hizo reaction zake.
Aucho kafanya makosa,kwahiyo asiadhibiwe ? Mnapenda sana kuchukulia kila kitu mnaonewa ili kunufaisha timu flani,badilikeni basi bodi ya ligi ipo sahihi,hata kama Ajibu alifanya utoto lakini Aucho kama professional footballer hakustahili hizo reaction zake.
Endelea kusubiri hapo hapo na mambo ya kizamani ya uchawi huku YANGA wakipiga sokaKweli ile mechi yanga walituzidi uchawi, simba ilicheza na misukule kwa sura halisi za wachezaji wa Yanga
Sio kweli.Wakati huo huo wanaopigwa faini kila Kariakoo dabi kwa vitendo vya kishirikina ni wengine
Kumbe kuna matabaka kwenye uchawi? Kwa hiyo unachotaka kusema Yanga ipo tabaka la chini?Sio kweli.
Nyie ni tabaka lingine tunaposemea uchawi.
simba ana faini za CAF kule south, na faini nying za TFF rejea faini ya gadiel Michel msimu uliopita
Maana ni nyingi.Kumbe kuna matabaka kwenye uchawi? Kwa hiyo unachotaka kusema Yanga ipo tabaka la chini?
Huo ushauri upeleke kwanza pale Jangwani ufanyiwe kazi siyo kila siku mnavunja mageti kama vibakaMaana ni nyingi.
Lakini umekubali kuhusu hizo faini za simba CAF na TFF.
sajilini na muwe professional, msiishi na historia maisha yanabadilika.