Mashabiki wanne wa Simba wafungiwa

Mashabiki wanne wa Simba wafungiwa

Kweli Yanga walozi aisee kwa sasa makosa yao hayaonekani ni Simba tuu..kuanzia waandishi makanjanja wote ni Simba hili Simba lile..ila Simba itawashangaza..mtafunga midomo jaba yenu...
 
Wachezaji wa Yanga walitembea kwa miguu kutoka Uhasibu hadi uwanjani. Ingekuwa Simba wamefanya hivyo, kelele zingekuwa nyingi sana
Hiyo ni sehemu ya mazoezi mepesi ya kujiandaa kwa mchezo husika🚶‍♂️‍➡️
 
Badala ya kuweka sheria Kali wao Tff wanapenda hizo faini ili watafune tu hizo hela inawezekanaje Timu ikaingia kwenye mlango ambao sio binafsi kila kukicha kitu ambacho washabiki hawawezi kufanya...
Hiyo faini ni hela ya Bure ndio maana wanafatilia kweli na kwa haraka...
 
Back
Top Bottom