Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni sehemu ya mazoezi mepesi ya kujiandaa kwa mchezo husika🚶♂️➡️Wachezaji wa Yanga walitembea kwa miguu kutoka Uhasibu hadi uwanjani. Ingekuwa Simba wamefanya hivyo, kelele zingekuwa nyingi sana