Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Kuna hatihati isichezwe leo kabisa.Wanazingua nataka wagongwe na Liver Man City achukue kombe, hii game inaonekana muda wa kuanza utasogezwa mbele.
Hamna mkuu..hawa wazungu wamechafukwa tu..tumeona kwa Arsenal,Chelsea pia nao wameshafanya kama hivi recenty..sema sisi tumeenda mbali sana hadi tumeinvade inside the pitch..
Naona wanasema kuna uwezekano game ikapigwa.Hamna mkuu..hawa wazungu wameshafukwa tu..tumeona kwa Arsenal,Chelsea pia nao wameshafanya kama hivi recenty..sema sisi tumeenda mbali sana hadi tumeinvade inside the pitch..
Kideo hikiMatch kati ya timu za ligi kuu England kati ya Manchester united na Liverpool imesongezwa mbele baada ya mashabiki wa timu ya Manchester united kuvamii uwanja(pitch) na kufanya vurugu wakishinikiza mwekezaji wa timu aondoke
Tangu majuzi baada ya vilabu kadhaa ikiwemo Manchester united kutaka kuanzisha league ya European super league mashabiki walikuja juu na sasa suala hili limefikia pabaya na huenda likasamba ulaya nzima .
USSR
Mkuu hao wamiliki wao ni parasite, wanajilipa mamilioni wenyewe kama 'Consultant fees' kila mwaka wakati uwanja umechoka unahitaji marekebisho, mvua ikenyesha panavuja 😂😂Hawamtaki Mo wao ?[emoji16][emoji4][emoji16][emoji16]
asante kwa info,maana nimekaa tu hapa sielewi kitu. ngoja nisepeGame itapigwa saa 21:30
Game hamna..imehairishwaasante kwa info,maana nimekaa tu hapa sielewi kitu. ngoja nisepe
naona Supersport wameweka notificationGame hamna..imehairishwa