Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Mashabiki wenye hasira wa Man United wamejikusanya Old Trafford muda huu huku wengine wakiwa wamevamia pitch kushinikiza kuondoka kwa mmiliki wa club hiyo Glazer.
Kuna hati hati mechi kati ya Man U na Liverpool kusogezwa mbele au kuahirishwa kwasababu za kiusalama.
Kuna hati hati mechi kati ya Man U na Liverpool kusogezwa mbele au kuahirishwa kwasababu za kiusalama.