Mashabiki wavunja mageti uwanja wa Benjamin Mkapa

Mashabiki wavunja mageti uwanja wa Benjamin Mkapa

Kwenye mambo ya free bot halafu wananchi unawagandisha nje kama bismini we unategemea nini?
Badala ya kuwa na taratibu za uwajibikaji na kuheshimu watu kwa kuandaa taratibu zenye kuheshimu nafasi za watu hao, sisi tunaendeleza utaratibu wa kuwadharau watu na kuwapa hudumu kwa kadili tunavyojisikia badala ya kuzingatia taratibu zenye viwango.
Acha lolote litokee labda safari hii tukajifunza
 
Hii mvua ina subiri Yanga wakiwa wana cheza 2
Ni mvua ya Simba hii huu ni muendelezo tangu mechi ya watani "kuzika maiti" sasa mganga wa makolo kahamia Yanga coz Simba makapuku wameloa wameloaa hawana hela kanjibai bahili!
 
watu wamekwenda kuangalia mpira na mvua hii badala wafungue mageti watu waanze kuingia mapema wanawalundika nje wajazane pasipo na sababu,kama tiketi zimekwisha wangerehusu watu waingie mapema.
 
Uongozi wetu wa mpira Tanzania zaidi kukaa ofisini pale karume kukusanya mapato na kutoa adhabu za kipuuzi kwa wadau...hawawezi hata kwenda uwanjani kusaidia wateja wao ..ambao ni mashabiki kuingia uwanjani bila shuruba ...kinyume chake wanapigwa ,wanaumizwa pale Kuna watoto ,wanawake wanachaniwa nguo na Suma jkt ..kwanini mlitoa wito watu waje ? Wapumvavu wakubwa nyinyi...
 
Back
Top Bottom