Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
- Thread starter
- #21
Mbona hata haina maana? Wewe utakuwa mshabiki wa temeke market unakuja kuleta upuuzi wako huku.unandika utoto utoto tu wa kipuuzi.
Tako moko fc.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tako moko fc.
Kocha Luc Eymael kuna jambo lilimfanya atuone sisi ni kama Manyani au Mbwa. Aliona tunapiga kelele tu na hatuna elimu, yaani ni vilaza.
Nmeshangaa tunaposhangilia team karibia yote kupigwa chini na kuanza kuokoteza okoteza wachezaji wakati tulipaswa kusajili wachezaji wachache ili kuimalisha sehemu dhaifu.
Morrison ameshatukashifu sana na kuonesha dharau ya kiwango cha juu, bado tunamng'ang'ania na kumuacha Molinga.
Ditram nchimbi msimu mzima ana bao 5 katika hizo 3 alitufunga sisi wenyewe hivyo kwetu katusaidia bao 2 tu kwa nusu msimu. Huyo anabaki anaondolewa mwenye mabao zaidi ya 10.
Tunalazimisha kuona tumesajili kama vile team haikuwepo kabisa. Kwahiyo tunaanza upya wakati tulipaswa kuboresha mapungufu. Huu ndo ukosefu wa elimu ambao kocha aliusema.
Simba wanajua wanachofanya. Wana wachezaji wakongwe wenye nidhamu na wameamua kurekebisha makosa siyo kuondoa wachezaji kumi kwa mpigo.
SISI YANGA SIYO BINADAMU NI MANYANI NA MAMBWA KOKO. BINADAMU WA KAWAIDA HUFIKIRI NA KUJIKOSOA. SISI HATUTAKI KUJIKOSOA TUNAJISHANGILIA HATA KWA UJINGA. HUO NI UNYANI NA U MBWA.