Simba ipo moto🤣🤣🤣Na hapa mechi inayofuata na Geita Gold tunaweza kutoa sare tena hii mechi
Uso kwa uso na George mpole..Na hapa mechi inayofuata na Geita Gold tunaweza kutoa sare tena hii mechi
mnatoa sare au mnafungwa.Na hapa mechi inayofuata na Geita Gold tunaweza kutoa sare tena hii mechi
Watanzania ni jamii ya kipuuzi, wanaamini kila kitu bila hata kufikiriTunashindwa hata kumfunga Azam aliyechezeshewa bao mbili na Mbeya City, Sisi tuna akili kweli?
Kwa namna hii ya Uchezaji Mnategemea tungefanya nini jipya kwenye michuano ya Shirikisho CAF?
Gape la alama 10. Mechi 6 zimesalia.
Maana yake Yanga apoteze mechi 3 kati ya hizo 6, halafu Atoe sare game 1, Halafu ashinde 2 tu...Hayo yakitokea ndio Simba tunaweza kuwa Mabingwa.
Ni nani mwenye akili timamu wa kuamini kuwa litaweza kutokea jambo hilo?
Tuna takataka sinazo ng’aa na tunapaswa kuzitupa ili tuwe washindani tena.
Tulichobakisha msimu huu ni kumcheka Mayele tu, Hatuna Jipya la kufanya.
We kweli colowizard🤣Mayele ni nani? Ungesema hata G. Mpole wa Namungo sawa. Mayele analalamika anakamiwa lakini Mara ya mwisho amekosa penati? Sijui ile penati alikambwa. Mfungaji bora NMB premier legue msimu 2021/2022 ni G. Mpole wa Namungo.
kiwango cha IQ yako kinaishia hapo.We kweli colowizard🤣
SIMBA NGUVUUU MOYAAAAA!HAHAHAHAHAHA MAKOLO ULIBWANJI BANAAAATunashindwa hata kumfunga Azam aliyechezeshewa bao mbili na Mbeya City, Sisi tuna akili kweli?
Kwa namna hii ya Uchezaji Mnategemea tungefanya nini jipya kwenye michuano ya Shirikisho CAF?
Gape la alama 10. Mechi 6 zimesalia.
Maana yake Yanga apoteze mechi 3 kati ya hizo 6, halafu Atoe sare game 1, Halafu ashinde 2 tu...Hayo yakitokea ndio Simba tunaweza kuwa Mabingwa.
Ni nani mwenye akili timamu wa kuamini kuwa litaweza kutokea jambo hilo?
Tuna takataka sinazo ng’aa na tunapaswa kuzitupa ili tuwe washindani tena.
Tulichobakisha msimu huu ni kumcheka Mayele tu, Hatuna Jipya la kufanya.
Aliyekuelewa atanifafanulia.Mayele ni nani? Ungesema hata G. Mpole wa Namungo sawa. Mayele analalamika anakamiwa lakini Mara ya mwisho amekosa penati? Sijui ile penati alikambwa. Mfungaji bora NMB premier legue msimu 2021/2022 ni G. Mpole wa Namungo.
zenu zimeshikwa na msukulemakolo akili zao zimeshikwa na babra