Mashabiki Wenzangu Wa Simba Tuendelee kumfuatilia Mayele tu, Ubingwa Umetushinda Rasmi.

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Tunashindwa hata kumfunga Azam aliyechezeshewa bao mbili na Mbeya City, Sisi tuna akili kweli?

Kwa namna hii ya Uchezaji Mnategemea tungefanya nini jipya kwenye michuano ya Shirikisho CAF?

Gape la alama 10. Mechi 6 zimesalia.

Maana yake Yanga apoteze mechi 3 kati ya hizo 6, halafu Atoe sare game 1, Halafu ashinde 2 tu...Hayo yakitokea ndio Simba tunaweza kuwa Mabingwa.

Ni nani mwenye akili timamu wa kuamini kuwa litaweza kutokea jambo hilo?

Tuna takataka sinazo ng’aa na tunapaswa kuzitupa ili tuwe washindani tena.

Tulichobakisha msimu huu ni kumcheka Mayele tu, Hatuna Jipya la kufanya.
 
haya kachunge ng’ombe sasa

A70CA961-E232-4F83-8651-40E51A447B5B.jpeg
 
Tunashindwa hata kumfunga Azam aliyechezeshewa bao mbili na Mbeya City, Sisi tuna akili kweli?

Kwa namna hii ya Uchezaji Mnategemea tungefanya nini jipya kwenye michuano ya Shirikisho CAF?

Gape la alama 10. Mechi 6 zimesalia.

Maana yake Yanga apoteze mechi 3 kati ya hizo 6, halafu Atoe sare game 1, Halafu ashinde 2 tu...Hayo yakitokea ndio Simba tunaweza kuwa Mabingwa.

Ni nani mwenye akili timamu wa kuamini kuwa litaweza kutokea jambo hilo?

Tuna takataka sinazo ng’aa na tunapaswa kuzitupa ili tuwe washindani tena.

Tulichobakisha msimu huu ni kumcheka Mayele tu, Hatuna Jipya la kufanya.
Watanzania ni jamii ya kipuuzi, wanaamini kila kitu bila hata kufikiri
 
Mayele ni nani? Ungesema hata G. Mpole wa Namungo sawa. Mayele analalamika anakamiwa lakini Mara ya mwisho amekosa penati? Sijui ile penati alikambwa. Mfungaji bora NMB premier legue msimu 2021/2022 ni G. Mpole wa Namungo.
 
Tunashindwa hata kumfunga Azam aliyechezeshewa bao mbili na Mbeya City, Sisi tuna akili kweli?

Kwa namna hii ya Uchezaji Mnategemea tungefanya nini jipya kwenye michuano ya Shirikisho CAF?

Gape la alama 10. Mechi 6 zimesalia.

Maana yake Yanga apoteze mechi 3 kati ya hizo 6, halafu Atoe sare game 1, Halafu ashinde 2 tu...Hayo yakitokea ndio Simba tunaweza kuwa Mabingwa.

Ni nani mwenye akili timamu wa kuamini kuwa litaweza kutokea jambo hilo?

Tuna takataka sinazo ng’aa na tunapaswa kuzitupa ili tuwe washindani tena.

Tulichobakisha msimu huu ni kumcheka Mayele tu, Hatuna Jipya la kufanya.
SIMBA NGUVUUU MOYAAAAA!HAHAHAHAHAHA MAKOLO ULIBWANJI BANAAAA
 
Back
Top Bottom