kwa hizi akiliKolo ni kolo tu hata afanywaje.
Yanga bingwa wewe kolowizard
kwa kuwaroga prisons na kutoa sare wewe bingwa
Ile ya jana ndio mikia halisi bila kuwasha moto
Eti Mpole ni wa Namungo.?? Hiyo NMB Premier Ligi inachezwa Nchi gani.? Kweli hivi vita vya Ukraine na Russia viishe tu 😂😂😂😂😂😂😂😂Mayele ni nani? Ungesema hata G. Mpole wa Namungo sawa. Mayele analalamika anakamiwa lakini Mara ya mwisho amekosa penati? Sijui ile penati alikambwa. Mfungaji bora NMB premier legue msimu 2021/2022 ni G. Mpole wa Namungo.
Bebwa wewe kama ni kazi rahisi
makolowizard nasikia sasa hivi kichaka chenu kimehamia kwa george mpole,mayele kesho akifunga sijui mtahamia kichaka gani
Mayele ni nani? Ungesema hata G. Mpole wa Namungo sawa. Mayele analalamika anakamiwa lakini Mara ya mwisho amekosa penati? Sijui ile penati alikambwa. Mfungaji bora NMB premier legue msimu 2021/2022 ni G. Mpole wa Namungo.
Mayele ni nani? Ungesema hata G. Mpole wa Namungo sawa. Mayele analalamika anakamiwa lakini Mara ya mwisho amekosa penati? Sijui ile penati alikambwa. Mfungaji bora NMB premier legue msimu 2021/2022 ni G. Mpole wa Namungo.
Hahahaha eti mpole wa namungo na anacheza ligi ya NMB,mi naona sipo Tanzania, mbumbumbu wamechanganyikiwa sanaMayele ni nani? Ungesema hata G. Mpole wa Namungo sawa. Mayele analalamika anakamiwa lakini Mara ya mwisho amekosa penati? Sijui ile penati alikambwa. Mfungaji bora NMB premier legue msimu 2021/2022 ni G. Mpole wa Namungo.
Mpole anacheza namungo! MweehMayele ni nani? Ungesema hata G. Mpole wa Namungo sawa. Mayele analalamika anakamiwa lakini Mara ya mwisho amekosa penati? Sijui ile penati alikambwa. Mfungaji bora NMB premier legue msimu 2021/2022 ni G. Mpole wa Namungo.
kwani mmeacha kumlipa kabwili?makolowizard nasikia sasa hivi kichaka chenu kimehamia kwa george mpole,mayele kesho akifunga sijui mtahamia kichaka gani
View attachment 2230472
Rage akukosea kuwaita mbu3,ile pre-season ya usa bado ipo wewe zezeta?
George Mpole anacheza Geita Gold, uyo wa Namungo labda mmemtengeneza nyie makolo fc a.k.a mbumbumbukiwango cha IQ yako kinaishia hapo.
🤣🤣🤣🤣Tuna takataka sinazo ng’aa na tunapaswa kuzitupa ili tuwe washindani tena.
Wewe ni kolodone kweli ,George Mpole ni wa Namungo na umerudia mara mbili !Mayele ni nani? Ungesema hata G. Mpole wa Namungo sawa. Mayele analalamika anakamiwa lakini Mara ya mwisho amekosa penati? Sijui ile penati alikambwa. Mfungaji bora NMB premier legue msimu 2021/2022 ni G. Mpole wa Namungo.
Mpole wa timu gani? Tafuta shughuli za kufanya huku kwenye futiboli ulivamia tuMayele ni nani? Ungesema hata G. Mpole wa Namungo sawa. Mayele analalamika anakamiwa lakini Mara ya mwisho amekosa penati? Sijui ile penati alikambwa. Mfungaji bora NMB premier legue msimu 2021/2022 ni G. Mpole wa Namungo.
Sasa Mpole ni mchezaji wa Namungo?SIMBA BINGWA.kiwango cha IQ yako kinaishia hapo.