Mashabiki Wenzangu Wa Simba Tuendelee kumfuatilia Mayele tu, Ubingwa Umetushinda Rasmi.

Kolo ni kolo tu hata afanywaje.
kwa hizi akili
jamaa yenu hakukosea kusema uto wote hamna akili

67C5B863-19C8-4452-834C-37FFF5AA8460.jpeg
 
Mayele ni nani? Ungesema hata G. Mpole wa Namungo sawa. Mayele analalamika anakamiwa lakini Mara ya mwisho amekosa penati? Sijui ile penati alikambwa. Mfungaji bora NMB premier legue msimu 2021/2022 ni G. Mpole wa Namungo.
Eti Mpole ni wa Namungo.?? Hiyo NMB Premier Ligi inachezwa Nchi gani.? Kweli hivi vita vya Ukraine na Russia viishe tu 😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Bora umemuelewa mleda mada. Hamna jingine makolo zaidi ya kumsifu Mpole na kumnanga Mayele.
Mayele ni nani? Ungesema hata G. Mpole wa Namungo sawa. Mayele analalamika anakamiwa lakini Mara ya mwisho amekosa penati? Sijui ile penati alikambwa. Mfungaji bora NMB premier legue msimu 2021/2022 ni G. Mpole wa Namungo.
 
Mmevurugwa kweli. Namungo hawana mchezaji anaitwa George Mpole
Mayele ni nani? Ungesema hata G. Mpole wa Namungo sawa. Mayele analalamika anakamiwa lakini Mara ya mwisho amekosa penati? Sijui ile penati alikambwa. Mfungaji bora NMB premier legue msimu 2021/2022 ni G. Mpole wa Namungo.
 
Mayele ni nani? Ungesema hata G. Mpole wa Namungo sawa. Mayele analalamika anakamiwa lakini Mara ya mwisho amekosa penati? Sijui ile penati alikambwa. Mfungaji bora NMB premier legue msimu 2021/2022 ni G. Mpole wa Namungo.
Hahahaha eti mpole wa namungo na anacheza ligi ya NMB,mi naona sipo Tanzania, mbumbumbu wamechanganyikiwa sana
 
Mayele ni nani? Ungesema hata G. Mpole wa Namungo sawa. Mayele analalamika anakamiwa lakini Mara ya mwisho amekosa penati? Sijui ile penati alikambwa. Mfungaji bora NMB premier legue msimu 2021/2022 ni G. Mpole wa Namungo.
Mpole anacheza namungo! Mweeh
 
Sisi mashabiki wa makolo fc tunasubiri Raundi ya pili ambayo Yanga huwa anakata pumzi/moto
 
Mayele ni nani? Ungesema hata G. Mpole wa Namungo sawa. Mayele analalamika anakamiwa lakini Mara ya mwisho amekosa penati? Sijui ile penati alikambwa. Mfungaji bora NMB premier legue msimu 2021/2022 ni G. Mpole wa Namungo.
Wewe ni kolodone kweli ,George Mpole ni wa Namungo na umerudia mara mbili !
 
Mayele ni nani? Ungesema hata G. Mpole wa Namungo sawa. Mayele analalamika anakamiwa lakini Mara ya mwisho amekosa penati? Sijui ile penati alikambwa. Mfungaji bora NMB premier legue msimu 2021/2022 ni G. Mpole wa Namungo.
Mpole wa timu gani? Tafuta shughuli za kufanya huku kwenye futiboli ulivamia tu
 
Back
Top Bottom