JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Mikel ArtetaJina lake kwa sasa ni kubwa kwenye Ulimwengu wa Soka na anatajwa takribani kila wiki, amecheza soka Hispania, Ufaransa, Scotland na England.
Timu alizocheza
Barcelona B
Paris Saint-Germain
Rangers
Real Sociedad
Everton
Arsenal
View attachment 2850042
Kumbe Mikel Arteta ni mchezaji kwa sasa na siyo kocha mkuu wa Arsenal? Nilikuwa sijui...au Mikel Arteta wapo wangapi kwenye ulimwengu wa Soka?😆Mikel Arteta huyo