Mashabiki Yanga SC waomba waletewe wali na maji siku ya mechi ya bure

Mashabiki Yanga SC waomba waletewe wali na maji siku ya mechi ya bure

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,734
Reaction score
140,476
Tunawaomba viongozi wetu wa Yanga siku ya mechi yetu ya marudiano na Silver tupate chakula pilau, soda na maji wakati mechi inaendelea tunakula, na baada mechi kuisha tupate tena tukiwa tunasherekea ushindi wetu Amesema GodYanga
 
Njaa haijawahi kumweka mtu huru.Mnashangaa nini hawa si ndio wale wale waliompigia magoti Marehemu Yusuf Manji asiondoke Yanga.Ukiwa na mentality ya kitumwa na kimaskini huwezi kubadilika.Jitu zima na nguvu zake linaomba pilau.
 
Manara kauli yake itadumu milele kuhusu wenye akili nyuma mwiko.

Ile ndio kauli sahihi aliyowahi kuiongea akiwa hajalewa.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Mbeya city💪🏿💯💯💯💯✌🏿📌🔨
 
Ombeni na nauli ya kwenda nakurudi.... Hiyo ndo maana ya bure kwa utopolo... Kweli mlewavyo ndo mkuwavyo asee.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom