Mashabiki Yanga watia aibu, wacheza uchi kushangilia kurudi kwa Fei Toto kambini

Mashabiki Yanga watia aibu, wacheza uchi kushangilia kurudi kwa Fei Toto kambini

Ni kweli! na pia tulikuwa hatufurahii. Ila cha kushangaza, nyinyi mnafurahia eti!
Kwani Makolokolo/Mbumbumbu/Malalamiko/Mikia/Makelele/Kolowizards/Ngada FC yameshasahau yalikaaga miaka mi4 bila kuchukua ubingwa wa ligi kuu TZ au ndiyo yanajizima tu data?

Alianza Azam kisha Yanga mara 3 mfululizo, kweli Aden Rage hakukosea kuwaita Mbumbumbu [emoji87]
 
Japo mimi ni shabiki wa Yanga ila hili siliungi mkono, wametudhalilisha sana na kuonekana sisi ni watu wenye ulimbukeni mkubwa wa mafanikio, tumeonekana sisi hatuna akili.

Mbona wenzetu Simba wamechukua kombe mara nne mfululizo na kufanikiwa kufika hatua za mbali michuano ya kimataifa ila hawajacheza uchi?

Tujirekebishe

Sijapenda, sijapenda, sijapenda nimeumia sana kuona jezi yetu inadhalilishwa vile[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
Weka picha
 
Back
Top Bottom