Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Huenda wanalenga kufaidi fursa walizozoona ndani ya chadema na kuzifurahia kwa uhuru zaidi , hasa mwenyekiti wao taifa akiwa hanged up. Kwasababu, hawamtetei kabisa mwenyekiti wao, ukifuatilia vizuri wanachoeleza mbele ya majaji.
Inaonyesha ni kama vile walijipanga kumsagia kunguni vizuri zaidi asichomoke alikonasa.
Huenda msaga sumu mkuu ambae ni makamu mwenyekiti wa chadema taifa, akamkaanga vizuri zaidi mwenyekiti wake kwa wakati muafaka, kwasababu anatamani mno kua mwenyekiti wa chadema taifa.
Ni wazi hachomoki.
Una maoni gani?🐒
Mungu Ibarariki Tanzania