Mashahidi wa udhalimu wanasimama, Wananiuliza mambo nisiyoyajua. Wananilipa mabaya badala ya mema, Hata nafsi yangu ikaingia ukiwa

Mashahidi wa udhalimu wanasimama, Wananiuliza mambo nisiyoyajua. Wananilipa mabaya badala ya mema, Hata nafsi yangu ikaingia ukiwa

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
4,274
Reaction score
9,326
Sote tuseme Amen Mashahidi wa udhalimu wanasimama, Wananiuliza mambo nisiyoyajua.
Zaburi 35:11

12 Wananilipa mabaya badala ya mema, Hata nafsi yangu ikaingia ukiwa.
Zaburi 35:12

13 Bali mimi, walipougua wao, Nguo yangu ilikuwa gunia. Nalijitesa nafsi yangu kwa kufunga; Maombi yangu yakarejea kifuani mwangu.
Zaburi 35:13
 
Back
Top Bottom