MamaSamia2025 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 14,588 Reaction score 32,361 Aug 27, 2023 #21 Kwenye hili sakata aliyeingia kichwakichwa ni Mwijaku. Kaligraph aliwachokoza marapa ila Mwijaku kwa upumbavu wake akawahusisha wakenya wote jambo ambalo kidiplomasia ni baya sana. Sijajua pale UDSM huyu Mwijaku alipita kufanya nini.
Kwenye hili sakata aliyeingia kichwakichwa ni Mwijaku. Kaligraph aliwachokoza marapa ila Mwijaku kwa upumbavu wake akawahusisha wakenya wote jambo ambalo kidiplomasia ni baya sana. Sijajua pale UDSM huyu Mwijaku alipita kufanya nini.