Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,851
- 9,472
Hivi @Uporoto1 na klorokwini uliwaficha wapi?
wapo, watakuja soon.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi @Uporoto1 na klorokwini uliwaficha wapi?
big baby
Udakuzi nilishaacha Bana....
"Huu wimbo huu, mmh" Kunani hapa kwenye hii sentensi?
mambo ya wakubwa umejifunzia wapi mkwe? huogopi :mimba:
Hii kitu inatisha ujue
Afu bana, itabidi nianze kula gizani kwa kumuogopa jirani
Hivi wee ni profesa, mbona una akili sana
ahahahaha, unaogopa nini sasa? weeh vipi, huwezi kuona mdomo bwana, washa dim
alikuwa skulimeti wa prof maji marefu ujue.
naupenda huo wimbo
......
wananiboa watu wa boda boda kila ukipita wameuweka wao sauti vol 100
wataufanya uchushe mapema
Hahaaa naomba nicheke yani uku kwetu kila bodaboda ikipata unasikia ooh baby
umeona enhee yaani imekuwa too much