Mashairi ya oh baby (kuchi kuchi) by jodie

Mashairi ya oh baby (kuchi kuchi) by jodie

huu wimbo uliimbwa na mbongo kwa mara ya kwanza ila kutokana na kutokujiamini kwetu mbongo akamuachia mganda studio aumalizie nae mganda hakuremba sasa bonge la jiwe east africa mganda anakula vimeo kama usipime

yaani nyimbo classic ipo international,i never knew kwamba ni mwafrika kaimba
 
Nice song, nice lyrics..

"oh baby,oh baby
i see me in your eyes
oh baby,oh baby
i see love in your smile"

Copy: Fixed Point, Preta, Madame B, Evelyn Salt, Husninyo, nameless girl, Munkari, amu, BADILI TABIA, lara 1, Zinduna, King'asti, Kongosho, ladyfurahia, Cantalisia, Smile, miss Chagga, shansarie, Evarm, Heaven on Earth, Phenomenon Lady, Ennie, Howt Lady, sweet lady, charminglady, Sista, Lizzy, afrodenzi, AshaDii, Michelle, Rose 1980...

Mapendo, TANMO

TANMO huwezi amini nilikuwa nautafuta huu wimbo.... Nakushukuru na laiti ningekufahamu ningekubeba mgongoni wallah!!!

Shahidi yangu Elizabeth Dominic
 
Last edited by a moderator:
huu wimbo uliimbwa na mbongo kwa mara ya kwanza ila kutokana na kutokujiamini kwetu mbongo akamuachia mganda studio aumalizie nae mganda hakuremba sasa bonge la jiwe east africa mganda anakula vimeo kama usipime

mbona nimesikia umeimbwa na mnaijeria?
 
mbona nimesikia umeimbwa na mnaijeria?

wabongo bana,kujifanya wajuaji
sijui anamzungumzia mganda wa wapi..
wimbo umeimbwa na jodie wa nigeria..
umetoka na kuhit huko kwako mwaka 2011..japo huku kwetu ndiyo unahit leo..na hajamwimbia boyfriend wala mume
ni wimbo maalumu kwa mtoto....
 
huu wimbo uliimbwa na mbongo kwa mara ya kwanza ila kutokana na kutokujiamini kwetu mbongo akamuachia mganda studio aumalizie nae mganda hakuremba sasa bonge la jiwe east africa mganda anakula vimeo kama usipime

Wbongo kwa fix...umeimbwa na Jodie wa Nigeria bhana... na kamwimbia mtoto siyo mpenzi
kama tutnavyouchukulia wabongo
 
huu wimbo uliimbwa na mbongo kwa mara ya kwanza ila kutokana na kutokujiamini kwetu mbongo akamuachia mganda studio aumalizie nae mganda hakuremba sasa bonge la jiwe east africa mganda anakula vimeo kama usipime

Mkuu umeteleza kidogo,

Huu wimbo kweli uliimbwa na mdada mmoja wa Moro, huyu dada alikutana na Jordie (Mnigeria) nchini Uganda wakati wanasoma. Inasemekana hata sauti iliyotumika ni ya mdada wa kibongo.

Jordie alichofanya ni kulipia tu studio na kuuchukua.
 
Back
Top Bottom