Hivi wee ni profesa, mbona una akili sana
mambo ya wakubwa umejifunzia wapi mkwe? huogopi :mimba:
Kobun baba...mie hata sina neno.....Nakazimia lakin ka'song
huu wimbo uliimbwa na mbongo kwa mara ya kwanza ila kutokana na kutokujiamini kwetu mbongo akamuachia mganda studio aumalizie nae mganda hakuremba sasa bonge la jiwe east africa mganda anakula vimeo kama usipime
Mi mzima. Hujambo wewe?Nipo aisee..mzima lakini?
Mi mzima. Hujambo wewe?
Niko poa...malezi tu ndo yanani keep busy kidogo..
Mpe hi dogo.
wewe kiumbe mbona umepotea sana?
TANMO huwezi amini nilikuwa nautafuta huu wimbo.... Nakushukuru na laiti ningekufahamu ningekubeba mgongoni wallah!!!Nice song, nice lyrics..
"oh baby,oh baby
i see me in your eyes
oh baby,oh baby
i see love in your smile"
Copy: Fixed Point, Preta, Madame B, Evelyn Salt, Husninyo, nameless girl, Munkari, amu, BADILI TABIA, lara 1, Zinduna, King'asti, Kongosho, ladyfurahia, Cantalisia, Smile, miss Chagga, shansarie, Evarm, Heaven on Earth, Phenomenon Lady, Ennie, Howt Lady, sweet lady, charminglady, Sista, Lizzy, afrodenzi, AshaDii, Michelle, Rose 1980...
Mapendo, TANMO
huu wimbo uliimbwa na mbongo kwa mara ya kwanza ila kutokana na kutokujiamini kwetu mbongo akamuachia mganda studio aumalizie nae mganda hakuremba sasa bonge la jiwe east africa mganda anakula vimeo kama usipime
wewe kiumbe mbona umepotea sana?
aliimbiwa nani hapa?
mbona nimesikia umeimbwa na mnaijeria?
huu wimbo uliimbwa na mbongo kwa mara ya kwanza ila kutokana na kutokujiamini kwetu mbongo akamuachia mganda studio aumalizie nae mganda hakuremba sasa bonge la jiwe east africa mganda anakula vimeo kama usipime
TANMO huwezi amini nilikuwa nautafuta huu wimbo.... Nakushukuru na laiti ningekufahamu ningekubeba mgongoni wallah!!!
Shahidi yangu Elizabeth Dominic