Mashali amtwangia Cheka nyumbani kwao moro!

Wonderful

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2015
Posts
7,347
Reaction score
5,986
Bondia Thomas Mashari kutoka Dar amempiga Francis Cheka kwa pointi mjini Morogoro katika pambano la raundi 10, uzito wa Kg 77.

Majaji wamempa Mashari pointi 94, 96 na 97 wakati mwenyeji Cheka amepata pointi 96, 93 na 93
 

Attachments

  • Mashali-vs-Cheka.jpg
    16.1 KB · Views: 1,145
 
 
Ushindi wa point huwa si Ushindi wa uhakika labda Hizo point ziwe za tofauti kubwa na zihesabiwe kisayansi Kama kule U.S.A lakini point za huku Tanzania nyingi huwa za kubahatisha tu , Ushindi bora ni wa KO unamaliza biashara Kama Tyson wa zamani .
 
cheka sasa hivi hana kitu hata mie namdunda
 
 
point huwa ni utashi wa jaji, wanaangalia jinsi bondia anavotupa punches na ku dance ulingoni, lakini ushindi mzur ni KO hauna ubishi
 
Ni bora angempiga KO ungeleta maana kubwa zaidi Hizo point alizoshindia ni ndogo sana.

Mkuu hizo nisheria zimewekwa!ikiwa ushindi wa pointi unakutatiza hivyo!matokeo ya sare naona hutokubaliana nayo kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…