Mashallah Zarina Hassan kaolewa

Mashallah Zarina Hassan kaolewa

Wala hachezewi oaneni tunaambiwa hivi "oaneni Kwa wema na achaneni Kwa wema"
Ndoa ni upendo huruma na mapenzi kama hvyo hakuna hakuna ndoa hapo
Unapomuita Zari Malkia wa wadangaji unakosea wanadamu wanabadilika mbona,kaamua kutulia jamani dada wa watu
Hakuna kitu kama hicho. Hakunaga mwanamke malaya akaamua kutulia. Wanapoaga tu. Muda wowote wanafanya yao.
 
Back
Top Bottom